Mtikila kula "valentine" rumande

Mtikila kula "valentine" rumande

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,671
Reaction score
37,844
MCHUNGAJI Christopher Mtikila ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama cha Siasa cha DP jana alirudishwa tena rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana.


Mtikila jana alijikuta akirudishwa arumande abaada ya kushindwa kutimiza masharti yaliyotolewa na hakimu mkazi wa Mahakamda ya Kisutu.

Hakimu Lema alimtaka Mtikila kuwa na wadhamini wawili watakaoweza kusaini hati ya shilingi milioni moja kila mmoja Mahakamani hapo.

Hivyo masharti hayo hakuweza kutimiza kwa wakati huo na kumlazimu kurudishwa rumande.

Kesi hiyo itatajwa tena mahakamani hapo Februari 15, mwaka huu.
 
Back
Top Bottom