Katibu Mwenezi CCM mbaroni kwa utapeli

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247

Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Haji Manara (Pichani), ametiwa mbarano jana kwa tuhuma za utapeli wa magari. GPL.COM ilimshuhudia kigogo huyo akiwa kituo cha polisi magomeni akihaha kujinasua na tuhuma hizo ambazo zimetolewa na wamiliki wa magari wasiopungua sita wakidai kutapeliwa kwa nyakati tofauti na kwa namna tofauti. Mtandano huu utakuletea taarifa zaidi za skendo hii itakapo kamilika.
sorce: http://www.globalpublisherstz.com/2008/08/14/polisi_afumwa_gesti.html
 
Safi sana huyu jamaa mshenzi sana anatumia ccm kuwazulumu wananchi na wakati mwingine anawadanganya wanawake atawapatia mikopo
huyuy wanatakiwa wamwamishie mwanza akumbane na vigogo
 
Safi sana huyu jamaa mshenzi sana anatumia ccm kuwazulumu wananchi na wakati mwingine anawadanganya wanawake atawapatia mikopo
huyuy wanatakiwa wamwamishie mwanza akumbane na vigogo

Nilitaka kusema kitu - ila Nime acha-
 
Safi sana huyu jamaa mshenzi sana anatumia ccm kuwazulumu wananchi na wakati mwingine anawadanganya wanawake atawapatia mikopo
huyuy wanatakiwa wamwamishie mwanza akumbane na vigogo

we we we we weweeeeeee ahamishiwe mwanza???
acha kabisa. angekuwa huko kwa utapeli huo wala issue isingefika polisi......!!!!!!!!!!!!
 
we we we we weweeeeeee ahamishiwe mwanza???
acha kabisa. angekuwa huko kwa utapeli huo wala issue isingefika polisi......!!!!!!!!!!!!

Hata ungemjua huku JF
ashukkuru Mungu aendelee kuwa dar kwa wasamaria
 
Tapeli....kaaribu..Kuliko CCm Inavyodhani...tena ukizinagatia........................ni katibu mwenezi!!!- haa....wachawi ....

I feel sorry for that and this is my last post... in this stupidit..
 
Back
Top Bottom