Misukule ya kenya na tanzania yatolewa "angola"-can | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misukule ya kenya na tanzania yatolewa "angola"-can

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 26, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,592
  Trophy Points: 280
  Timu za ivory coast na cameroon ambazo zilipitia tanzania na kenya
  kwa ajili ya mazoezi hatimae zimeaga mashindano ya can angola
  wakati ivory coast walianza wenzao cameroon wameaga jana kwa style ya aina yake
  tunawakaribisha tena 2012 mkifanikiwa
   
 2. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2010
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mimi najiuliza, hivi Tanzania ingekuwa na wachezaji waliosheheni kila upande kama Ivory Coast au Cameroon halafu ikafungwa kama ilivyotokea ingekuwaje?. Wachezaji wetu mbuzi hivi tukifungwa noma namna hii, tungekuwa viwango huyo kocha si angechunwa ngozi?
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,167
  Likes Received: 5,592
  Trophy Points: 280
  Wangemtoa kafara mi nasema bora maximo ajiendee watanzania awana adabu kabisa;awachelewi kumsakizi mizinga yenye h.i.v
   
Loading...