Utapeli mpya waibuka Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utapeli mpya waibuka Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by eRRy, Nov 18, 2009.

 1. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ndugu wapendwa,

  Story ifuatayo ni ya kweli maana imenitokea mimi binafsi tarehe 11/11/2009. Najua kwa kiasi fulani itakuwa inaninizalilisha kwa kutokuwa makini lakini naona ni vyema niwashirikishe rafiki zangu ili msije mkatapeliwa kama mimi na wengine wengi wameshatapeliwa kama vile ndugu yake Galeba, laiti Galeba angeweza kutuelezea yaliyomsibu ndugu yake labda na mimi ningeweza kuepuka utapeli huu. Kinchosikitisha matapeli wenyewe ni watu wanaotufahamu vizuri.
  -----------------------------------------------
  Mnamo muda wa saa tano asubuhi nikiwa nyumbani (nipo likizo) nikapokea simu nisiyoifahamu kutoka kwa mtu ambaye alijitambulisha ananifahamu, na kwa jinsi alivyonitaja kwa jina na career background details zangu sikuwa na shaka kwamba hanifahamu. Mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:

  TAPELI: Mr. Alex Matovu habari za siku nyingi.
  Mimi: Nzuri
  Tapeli: Vipi bado unafanya kazi Blue Financial Services?.....
  Mimi: Hapana, nani mwenzangu?
  Tapeli: John, nilikuwa nafanya kazi Wizara ya elimu, na uliwahi kunisaidia nikapata mkopo, ila kwa sasa nipo World food programme, Kigoma kama Chief supplies officer.
  Mimi: okay sasa nikusaidie nini John (ukweli nikwamba sikumkumbuka ila kwa kuwa tulikuwa tunatoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali, siku jiuliza sana , after all alikuwa hajasema anachotaka)

  Tapeli: Sasa nina issue naomba unisikilize kwa makini, kama unavyofahamu WFP tunatoamisaada ya vyakula hivyo tuna maghala makubwa ya kuhifaadhi chakula, hivyo ili kuhakikisha vyakula haviharibiki huwa tuna weka presavative inayoitwa Damoline Liquid solution made in Sweeden, hii inapatikana MSD na kwa licensed dealers kama Mohamedi Enterprises. Kwahiyo tuli float tender mwaka jana na supplier aliyeshinda tulikubaliana anipe 10% lakini baada ya ku supply hayo madawa akanidhulumu na kunitisha kuwa iwapo nitamdai hiyo 10% angeniripoti kwa mabosi wangu. Kwa hiyo sikuwa na cha kumfanya bali kusubiri contract yake iishe alafu nimtafute supplier mwingine. Sasa ndio nikaona nikupigie ndugu yangu maana nakujua wewe hii kazi utaweza kuifanya ukizingatia unalipwa cash on delivery!

  NOTE: nimeshawahi ku deal na supplies officer wengi hivyo sikuwa na doubt yeyote, bali nikaona hii is just another deal kama ambazo nimeshawahi kufanya successfully.

  Mimi: Okay sasa unataka nifanye je?

  Tapeli: Unachotakiwa kufanya ni kwenda MSD umuone Dr. Shija, huyu ndiye mkuu wa hapo na ndiye aliyekuwa supplier wetu wa zamani aliye ni dhulumu, sasa kwa kuwa sitaki kumpa kazi tena, wewe uende ujifanye unaulizia hiyo liquid solution, na u negotiate ujue atakuuzia shillingi ngapi. Kwahiyo nakutumia simu yake mpigie muongee akupe quotation, alafu akisha kupa bei nipigie ili nikuelekeze cha kufanya.

  Basi wandugu nikampigia dr. shija, mwanzoni shija ana hesitate kuzungumza na mimi aki pretend kuwa hapendi kuongea na strangers na akataka kujua namba yake nimeipataje, sasa kwa kuwa siwezi kumwambia ukweli kuhusu aliyenipa namba yake, ikabidi na mimi niwe muongo kwa muda, nika pretend kuwa mimi ni mkulima na nahitaji hiyo presavative kwa ajili ya maghala yangu yaliyopo arusha. Basi akawa na imani na kukiri kuwa anayo stock yakutosha, na hiyo liquid inauzwa kwa pair ya chupa mbili zenye ujazo wa 1000mls, kila pair ni 1.2m. Sasa angalia nilivyoingia katika mtego, baada ya kunipa bei ni kaomba punguzo na akasema atauza kwa 1million.

  Nikafanya kama nilivyoelekezwa na John wa WFP kuwa baada ya kupata bei nimjulishe nilivyomjulisha akasema kinachofuata ni kuwa mimi nitauza kwa USD. 1700, na tofauti kwa maana ya faida tutagawana, hivyo nisubiri aniunganishe kwa bosi wake for further final details.

  Basi wandugu kama mnavyonijua katika issue za fwedha, nikachukua calculator ya simu ili nijue deal ina shillingi ngapi, hela zilivyokuwa nyingi hata calculator iligoma, maana WFP wanahitaji 50 pairs @ usd 1700, mimi nanunua kila pair kwa 1million ambayo ni kama usd 770 hivyo difference usd 930 x 50 pairs = USD 46500, ALAFU tunagawana pasu pasu. Guys you can imagine what was going on in my head!

  Basi kweli muda si mrefu nikapigiwa simu na huyo bosi wake ambaye ni mzungu na mazungumzo yalikua kama ifuatavyo:

  MZUNGU: This is Mr. Scheinder from WFP, are you the new supplier?
  MIMI: YES
  MZUNGU: Do you have enough stock of Damoline Liquid solution, we are looking for 50 pairs?
  MIMI: Yes I have sufficeint stock
  Mzungu: what is your price per pair?
  Mimi:$1700
  Mzungu: ahaaaaaaaa thats a very good price, do you want to be paid in dollars or TZS
  MIMI: Dollar of course, you how how unstable the local currency is ( Hapo tena na mimi nataka kuonyesha kuwa ni International businessman)
  Mzungu: No problem, we have enough dollars, you want to be paid cash or by cheque?
  Mimi:Cash
  Mzungu: Okay no problem, now listen very carefully mr. new supplier we need this liquid urgently possibly today, and since you have said you have enough
  stock we are taking off this morning from Kigoma coming to Dar, please arrange for the transport to take us to Movenpick, we will pay usd. 200 for your fuel, but most importantly make sure you bring one pair of the sample with you.
  Mimi: No problem at all I have been in this business for quite sometime now you can be sure everthing will be fine.

  Masikini bila kujua nimeingizwa kingi, nikachukua cheque book, nikaandika cash withdraw 1million ili nikanunue sample yakwenda kuwaonyesha wateja wangu. Baada ya kutoka bank nikampigia dr. shija ili aniuzie hiyo sample, akasema kwa sasa ametoka ofisini ila sample anazo katika gari na alikuwa anaelekea Mwananyamala hosp, then Magomeni alafu Muhimbili, hivyo tukutane Magomeni hosp. Yaani jinsi nilivykuwa naendesha gari basi hata kama ni mashindano ningeweza kushinda, basi mimi mbio mpaka magomeni hosp namsubiri dr. shija. Nikampigia akasema yupo ndani hospitalini na yupo na mabosi wake asingeweza kutoka ila anamtuma kijana wake nimpe hizo fedha na yeye anipe hizo dawa, kweli ikawa hivyo kijana akaja akaingia kwenye gari nikamwambie anipe hizo sample kwanza nikazisoma ziko exactly kama WFP wanavyotaka! NIKAKABIDHI HELA 1 MILLION. Bila hata aibu yule kijana akaniomba 50,000/= nikamwambie asijali maana deal kubwa itakamilishwa saa nane.

  Kwa kuwa wageni wangu walishaniambia niwaaandalie usafiri, nikampigia dreva tax wangu aje airport saa nane, nikamuuliza bei kutoka airport mpaka movenpick ni ngapi akasema 25,000 nikamwambia usijali ntakupa 50,000/=!!!!!!!!!!!!! (kumbuka mimi ntalipwa usd 200 ya usafiri).

  Basi mimi mbio nikaenda airport terminal one kusubiri ndege ya WFP ili tumalize biashara, nilipofika kuulizia reception nikaambiwa hakuna kitu cha namna hiyo na mimi ni mtu wa 10 kutapeliwa, basi tena nikajirudia kimya kimya. Nikaenda kula chefs pride nikamsimulia jamaa mmoja yaliyonisibu, kabla sijamaliza akasema hata ndugu yake ametapeliwa wiki iliyopita, nikampigia Galeba akasema yeye jamaa yake alipigwa 3.5m last week.

  Taarifa nilizonazo mpaka nikuwa hii ni network ya wahaya na mpaka sasa ni wahaya wengi wameishaibiwa ukilinganisha na makabila mengine.

  So guys thats my story for yesterday!

  Foward to everyone you know.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Pole sana ndugu yangu eRRy84. Niliwahi kusoma kitu kama hiki hapahapa JF.

  Ina maana Polisi bado hawajawashughulikia hawa watu ili wautaje mtandao wao?
  Be careful next tym man.
   
 3. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Ndy meshen Town zenyewe zilivyo, hata ww kama hauko warned na umeshazoea kupata ishu kama hizo Tanroad, GGM na Kwingineko ungejua hii ni ishu nyingine, tena BIG! Biashara ni kukubali kutake risk, fikiria ishu hyo kama ingekuwa ni kweli, faida kama M50/= hv! angejuta kuikosa. 2007 zilinitoka 10M Cash! sijamsimulia hata mke wangu!!!
   
 5. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,087
  Likes Received: 1,733
  Trophy Points: 280
  Principle 1:
  Duniani hakuna bahati ya mapato bila kufanya kazi.
  principle 2:
  Utavuna tu pale ulipopanda.
  Principle 3:
  Mapato hutokana na kazi halali, si vinginevyo.
   
 6. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,189
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Pole sana kwa yaliyokukuta. Binadamu hujifunza kutokana na makosa.
  Hata ndg yangu wa karibu alitapeliwa 30m, alikaribia kuchaNganyiwa asiamini kilichotokea ila hakuwa na wa kumlalamikia coz nilimshauri kuwa unatapeliwa akaniona mie ****! MJINI SHULE
   
 7. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 496
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Sophist

  Umenena kweli kabisa kwani hata kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa UTAKULA kwa JASHO LAKO

  Kuna msemo unasema....No Free lunch in America
   
 8. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa napitia Blog ya Issamichuzi nikakutana na kisa hiki nikaona vyema wana JF wawe aware isijekuwa "kisa cha nyoka ile ipite" tukajichukulia kama vile issue hii iko mbali nasi tukaja lia kila mtu kwa muda na staili yake:

  utapeli sampuli mpya bongo??

  Ndugu wapendwa,

  Story ifuatayo ni ya kweli maana imenitokea mimi binafsi jana tarehe 11/11/2009. Najua kwa kiasi fulani itakuwa inaninizalilisha kwa kutokuwa makini lakini naona ni vyema niwashirikishe rafiki zangu ili msije mkatapeliwa kama mimi na wengine wengi wameshatapeliwa kama vile ndugu yake Galeba, laiti Galeba angeweza kutuelezea yaliyomsibu ndugu yake labda na mimi ningeweza kuepuka utapeli huu. Kinchosikitisha matapeli wenyewe ni watu wanaotufahamu vizuri.
  -----------------------------------------------
  Mnamo muda wa saa tano asubuhi nikiwa nyumbani (nipo likizo) nikapokea simu nisiyoifahamu kutoka kwa mtu ambaye alijitambulisha ananifahamu, na kwa jinsi alivyonitaja kwa jina na career background details zangu sikuwa na shaka kwamba hanifahamu. Mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:

  TAPELI: Mr. Alex Matovu habari za siku nyingi.

  Mimi: Nzuri

  Tapeli: Vipi bado unafanya kazi Blue Financial Services?

  Mimi: Hapana, nani mwenzangu?

  Tapeli: John, nilikuwa nafanya kazi Wizara ya elimu, na uliwahi kunisaidia nikapata mkopo, ila kwa sasa nipo World food programme, Kigoma kama Chief supplies officer.

  Mimi: okay sasa nikusaidie nini John (ukweli nikwamba sikumkumbuka ila kwa kuwa tulikuwa tunatoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali, siku jiuliza sana , after all alikuwa hajasema anachotaka)

  Tapeli: Sasa nina issue naomba unisikilize kwa makini, kama unavyofahamu WFP tunatoamisaada ya vyakula hivyo tuna maghala makubwa ya kuhifaadhi chakula, hivyo ili kuhakikisha vyakula haviharibiki huwa tuna weka presavative inayoitwa Damoline Liquid solution made in Sweeden, hii inapatikana MSD na kwa licensed dealers kama Mohamedi Enterprises. Kwahiyo tuli float tender mwaka jana na supplier aliyeshinda tulikubaliana anipe 10% lakini baada ya ku supply hayo madawa akanidhulumu na kunitisha kuwa iwapo nitamdai hiyo 10% angeniripoti kwa mabosi wangu. Kwa hiyo sikuwa na cha kumfanya bali kusubiri contract yake iishe alafu nimtafute supplier mwingine. Sasa ndio nikaona nikupigie ndugu yangu maana nakujua wewe hii kazi utaweza kuifanya ukizingatia unalipwa cash on delivery!

  NOTE: nimeshawahi ku deal na supplies officer wengi hivyo sikuwa na doubt yeyote, bali nikaona hii is just another deal kama ambazo nimeshawahi kufanya successfully.

  Mimi: Okay sasa unataka nifanye je?

  Tapeli: Unachotakiwa kufanya ni kwenda MSD umuone Dr. Shija, huyu ndiye mkuu wa hapo na ndiye aliyekuwa supplier wetu wa zamani aliye ni dhulumu, sasa kwa kuwa sitaki kumpa kazi tena, wewe uende ujifanye unaulizia hiyo liquid solution, na u negotiate ujue atakuuzia shillingi ngapi. Kwahiyo nakutumia simu yake mpigie muongee akupe quotation, alafu akisha kupa bei nipigie ili nikuelekeze cha kufanya.

  Basi wandugu nikampigia dr. shija, mwanzoni shija ana hesitate kuzungumza na mimi aki pretend kuwa hapendi kuongea na strangers na akataka kujua namba yake nimeipataje, sasa kwa kuwa siwezi kumwambia ukweli kuhusu aliyenipa namba yake, ikabidi na mimi niwe muongo kwa muda, nika pretend kuwa mimi ni mkulima na nahitaji hiyo presavative kwa ajili ya maghala yangu yaliyopo arusha. Basi akawa na imani na kukiri kuwa anayo stock yakutosha, na hiyo liquid inauzwa kwa pair ya chupa mbili zenye ujazo wa 1000mls, kila pair ni 1.2m. Sasa angalia nilivyoingia katika mtego, baada ya kunipa bei ni kaomba punguzo na akasema atauza kwa 1million.

  Nikafanya kama nilivyoelekezwa na John wa WFP kuwa baada ya kupata bei nimjulishe nilivyomjulisha akasema kinachofuata ni kuwa mimi nitauza kwa USD. 1700, na tofauti kwa maana ya faida tutagawana, hivyo nisubiri aniunganishe kwa bosi wake for further final details.

  Basi wandugu kama mnavyonijua katika issue za fwedha, nikachukua calculator ya simu ili nijue deal ina shillingi ngapi, hela zilivyokuwa nyingi hata calculator iligoma, maana WFP wanahitaji 50 pairs @ usd 1700, mimi nanunua kila pair kwa 1million ambayo ni kama usd 770 hivyo difference usd 930 x 50 pairs = USD 46500, ALAFU tunagawana pasu pasu. Guys you can imagine what was going on in my head!

  Basi kweli muda si mrefu nikapigiwa simu na huyo bosi wake ambaye ni mzungu na mazungumzo yalikua kama ifuatavyo:

  MZUNGU: This is Mr. Scheinder from WFP, are you the new supplier?
  MIMI: YES
  MZUNGU: Do you have enough stock of Damoline Liquid solution, we are looking for 50 pairs?
  MIMI: Yes I have sufficeint stock
  Mzungu: what is your price per pair?
  Mimi:$1700
  Mzungu: ahaaaaaaaa thats a very good price, do you want to be paid in dollars or TZS
  MIMI: Dollar of course, you how how unstable the local currency is ( Hapo tena na mimi nataka kuonyesha kuwa ni International businessman)
  Mzungu: No problem, we have enough dollars, you want to be paid cash or by cheque?
  Mimi:Cash
  Mzungu: Okay no problem, now listen very carefully mr. new supplier we need this liquid urgently possibly today, and since you have said you have enough
  stock we are taking off this morning from Kigoma coming to Dar, please arrange for the transport to take us to Movenpick, we will pay usd. 200 for your fuel, but most importantly make sure you bring one pair of the sample with you.
  Mimi: No problem at all I have been in this business for quite sometime now you can be sure everthing will be fine.

  Masikini bila kujua nimeingizwa kingi, nikachukua cheque book, nikaandika cash withdraw 1million ili nikanunue sample yakwenda kuwaonyesha wateja wangu. Baada ya kutoka bank nikampigia dr. shija ili aniuzie hiyo sample, akasema kwa sasa ametoka ofisini ila sample anazo katika gari na alikuwa anaelekea Mwananyamala hosp, then Magomeni alafu Muhimbili, hivyo tukutane Magomeni hosp. Yaani jinsi nilivykuwa naendesha gari basi hata kama ni mashindano ningeweza kushinda, basi mimi mbio mpaka magomeni hosp namsubiri dr. shija. Nikampigia akasema yupo ndani hospitalini na yupo na mabosi wake asingeweza kutoka ila anamtuma kijana wake nimpe hizo fedha na yeye anipe hizo dawa, kweli ikawa hivyo kijana akaja akaingia kwenye gari nikamwambie anipe hizo sample kwanza nikazisoma ziko exactly kama WFP wanavyotaka! NIKAKABIDHI HELA 1 MILLION. Bila hata aibu yule kijana akaniomba 50,000/= nikamwambie asijali maana deal kubwa itakamilishwa saa nane.

  Kwa kuwa wageni wangu walishaniambia niwaaandalie usafiri, nikampigia dreva tax wangu aje airport saa nane, nikamuuliza bei kutoka airport mpaka movenpick ni ngapi akasema 25,000 nikamwambia usijali ntakupa 50,000/=!!!!!!!!!!!!! (kumbuka mimi ntalipwa usd 200 ya usafiri).

  Basi mimi mbio nikaenda airport terminal one kusubiri ndege ya WFP ili tumalize biashara, nilipofika kuulizia reception nikaambiwa hakuna kitu cha namna hiyo na mimi ni mtu wa 10 kutapeliwa, basi tena nikajirudia kimya kimya. Nikaenda kula chefs pride nikamsimulia jamaa mmoja yaliyonisibu, kabla sijamaliza akasema hata ndugu yake ametapeliwa wiki iliyopita, nikampigia Galeba akasema yeye jamaa yake alipigwa 3.5m last week.

  Taarifa nilizonazo mpaka nikuwa hii ni network ya wahaya na mpaka sasa ni wahaya wengi wameishaibiwa ukilinganisha na makabila mengine.

  So guys thats my story for yesterday!

  Foward to everyone you know.
   
 9. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiongozi utapeli wa aina hiyo wenyewe wanauita CALL TO CALL!!!
   
 10. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nashukuru Sugar wa Ukweli kwa kunifahamisha new terminology ya usanii mpya,ahsante sana naamini tuko pamoja.
   
 11. bht

  bht JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  DECI mpaka leo hata mbegu hazijaota sasa:

  Anyway huu utapeli jamaa yangu zilimtoka 2mil tna zenyewe za kuunga basi. kupenda reeee reeeee, za fasta
   
 12. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na ww kwenye namba 1 na 2, Lakini 3 si kweli, hv unajua biashara nyingi si halali? utapeli si biashara ni wizi! amini nakwambia mfanyabiashara yeyote ambaye hayuko warned anaweza kutapeliwa! ndyo maana target ya hawa watu si mtu baki, bali ni watu ambao wanajua kuchuuza, tena wanaokufahamu vizuri! aliyeniibia mimi ni mhindi, aliniambia ana bidhaa fulani adimu, kontena litafika next week, nikalipa 10M, 20M mzigo utakapofika, 20M nitakapouza!! Mtu huyo nilishawahi kufanya naye biashara Once sikuwa na shaka, lakini ndy ujue aliniibia!

  Biashara huwezi kukataa risk na huwezi kukwepa hasara, mimi na jamaa yangu tuliona biashara ya uchuuzi haina faida zana, tuingie kwenye uzalishaji, Jamaa yangu akaenda Kibaigwa akachimbia mil50 kwenye kilimo!! mungu akamtupa mkono, jua likachoma mahindi yote akakimbia nchi kabla hata hajavuna, sasa anafanya Madini Kongo! Mm nikajirisk kwenye ufugaji, Nashukuru mungu mpaka kesho wanangu wana cha kurithi! LAZIMA UTHUBUTU!!
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  Unaaikumbuka newton's 3law of motion
  pole sana mkuu ila hii kwangu ni story ya 3 hapa jf
  so kuna vithread vingine unaweza viona vya kizushi kumbe vinalinda mtaji wako...pole sana upo mchezo mwingine kwa taarifa kama ujawahi kuusoma huku kama unanua mbao popote angalia ile futi...best futi imekatwa katwa si kitoto...inaonyesha 1.......7..inaungwa na 13 mapak 20...inafwata 23...nk hapo kwa mbao moja wanakula mpaka ft5-8 piga utakazo chukua uone nchii ilivyolaanika hii yalinikuta nimeshapima pale buguruni za million 1.7 sijalipa namalizia jamaa mmoja inaonyesha awakumshirikisha akanitonya...ukifika unasikia wanaulizia mguuni kichwani...kichwani wanakupiga kwenye mahesabu kama uko mwenywe mguuni ndio kwenye futi...patamu nikawaambia tupime upya wakachomoa nikaaga nikachukue hela pale kwenye trafficlight kuna exim...basi nilianza unafikiri nina hata account nikapanda basi nikampigia dogowangu lete gari hapa tabata...achana nao....so hiii ni changamoto aliyotuletea rais wetu kutokana na uchumi mkali kila siku wanakaa kuvumbua vumbua....
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280

  mkuu bht
  unafikir ni wengi walipenda kuingia deci...jiulize kuna wakina dollers waliibiwa tunaona...faidika na wengineo...umasikni ndio chimbuko la utapeli,,na kutapeliwa....ndio maana leo hii hakuna airport ambayo awaibi miizigo iwe amsterdam,nairobi ndio kabisa,tanzania...na mengineyo......hapa ni kushtuka tu ndio soln
   
 15. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #15
  Nov 18, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  I like the statement: "No free lunch in America!" Poleni sana wahanga wote, lakini kumbukeni kwamba shina la mabaya yote ni kupenda fedha! Usije ukaniuliza kama kuna mtu ambaye hapendi fedha, kama swali hilo, basi jibu lake ni hili: Don't seek victory at ANY cost (whether by killing, stealing, etc) Mbarikiwe!
   
 16. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #16
  Nov 19, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,087
  Likes Received: 1,733
  Trophy Points: 280
  Amoeba,

  Tunaaswa kutopenda lunch ya bure ya Mwamerika. Anayetaka kurisk basi afanye hivyo kwa genuine investment siyo haya mambo ya kupenda kuzungusha pesa alfajiri ukitegemea returns, tena mara dufu, wakati wa staftahi. Hao matapeli wanatumia tabia za watu kupenda mapato bila kufanya kazi halali (ku-facilitate utapeli), tena kwa haraka, kama chambo cha kuwaibia wahusika. Ukiangalia hizo principles nilizoziweka hapo juu utagundua kuwa zinakusaidia kufikiria kabla ya kuingia mkenge, hivyo huwezi kuibiwa. Ukitaka kuwekeza unatakiwa kutumia principles hizo hizo ili uweze kuwa na genuine risk. Na risk ya namna hii ni insurable; unaweza kuwekea bima!
  Kwa mfano kuna uwekezaji wa namna ya kupata pesa haraka unaitwa arbitrage, yaani kuuchuuza exchange rate; lakini inatakiwa kiwango kikubwa cha mawasiliano, tehnolojia na utalaam wa kutosha kutambua mwenendo wa mafaranga duniani pote. Vinginevyo mwekezaji anaweza kuhasarika asionekane tena 'mjini'. Shughuli yoyote usipo-invest kiasi cha kutosha cha brain work, ni kutengeneza uchochoro wa mapato ya matapeli. Kimsingi unakuwa chanzo cha mapato ya matapeli na hivyo kuwawezesha kukaa mjini. Watanzania wangeachana na njia hizi za mkato na kufanya genuine business/investment matapeli wote wangekuwa wamekufa njaa sikun nyingi!

  Uwekezaji mwingine wa aina hiyo ya kupata retuns haraka ni uwekezaji wa hisa. Lakini nao unataka ujuzi na umahiri wa hali ya juu. Si mambo ya kupigiwa simu na mtu humjui nawe unaanza kufanyia maamuzi ya kuwekeza (risk) bila tafakuri. tubadilike.

  Kuna mfano mmmoja; kama utakumbuka mwanzaoni kati ya mwaka 1990 na 1994 kulikuwa baa maarufu ikijulikana kwa jina la Makondeko. Uliwahi kujiuliza iliishia wapi? Kwa taarifa ni kwamba aliyekuwa mmiliki wake, marehemu Alex Haridi (RIP) alifariki miaka minne baadaye akiwa mufilisi kwa mujibu wa sheria! Kisa? Alitapeliwa na Wa-Nigeria. Aliwapatia mtaji wake wote (mkopo kutoka NBC) wamtengenezee mara tatu; hakuwahi kuwaona hadi anafariki na ndio uliokuwa mwisho wake. No Nigerian free lunch!!!!
   
 17. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #17
  Nov 19, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  hapo tu ndy tumeanza kuelewana, hiyo ndy "free Lunch"! tofautisha kabisa na mtu anafanya biashara (ANANUNUA NA KUUZA). mtu anakwambia ataongeza pesa yako mara tatu!!!!!! mtu anakwambia ameokota madini anauza!!!!!! hapo UTAIBIWA KWELI. Risk nayosemea mimi ni ya biashara genuine, ni kawaida mfanya biashara kutuma pesa tu na kutumiwa mzigo bila kusafiri, lakini uaminifu unapotoweka ndy mtu unajikuta umelizwa! Na hawa walioibiwa katika utapeli huu wa sasa ni wachuuzi wazoefu (tapeli anachunguza kabisa reputation ya mtu katika hiyo bsnss!). Hii bongo risk ziko nyingi, umebeba pesa kwenye rambo-risk, umenunua mzigo ukashuka bei-risk, umenunua mzigo hautoki mpaka unaharibika-risk, naongelea wjasiriamali wa tumilioni 5-100, hata kuinsure biashara yako kwa mtaji huo ni hasara tu, faida yote itaenda bima, amini nakwambia kilichonifanya mimi niache uchuuzi ni RISK! HUWEZI KUKWEPA KABISA
   
 18. kilema

  kilema Member

  #18
  Nov 19, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hawa jamaa walishakamatwa wakawekwa ndani kituo cha polisi kule mabatini. Kama kawaida nadhani walimalizana na polisi kama kawaida na mchezo unaendelea. Labda polisi watueleze wale waliokamatwa waliwapeleka wapi maana sijasikia kesi yao mahakamani
   
 19. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #19
  Nov 19, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hii hadithi imetungwa.

  Hamna kitu kama hii imetokea popote.
  Kama imewahi kutokea, basi ni mafala walioikwapua kwenye Internet wakajaribu kutumia mbinu hii kutapeli.

  Zitaletwa nyingi tu, tungo za mfano huu. Wateja wa tungo hizi ni magazeti ya mfano wa Global publishers!
   
 20. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #20
  Nov 19, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  Sio kweli, out of 100 people who are rich only 5 are rich thru clean deals!!!

  If you want to remain poor, adopt principles za Sophist!!
   
Loading...