Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,413
Jemeni hili tangazo la TCC Club limeweka funguo za magari 3.
kwa waliosahau wawasiliane nao wakazichukue, Hivi kweli mtu unaweza ukaondoka na kusahau funguo za gari?? Na kama kweli umesahau basi umeondokaje bila gari??
Mchango wangu juu ya hizi funguo
Hizi funguo ni kanyaboya tu, sio za kweli, siku hizi mijanadume mengi tu imekuwa na tabia za kutembea na funguo za gari kanyaboya, ili waonekane wanamiliki magari, na wakati wakipata kinywaji huziweka juu ya meza ili wapate kufanikisha malengo yao
Natoa wito
Kwa midume yote yenye tabia kama hizi ni bora wawache, ukijifanya una gari na ikajulikana huna utakuja umbuka. Sina zaidi ya hayo jemeni kwa leo hilo ndio darasa langu kwa wana JF wote- Mwaaaaaah nyote!!