Kusherehekea siku ya mkesha X'mas Pamoja na DJ Mosy nchini China(Video Link) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kusherehekea siku ya mkesha X'mas Pamoja na DJ Mosy nchini China(Video Link)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ldleo, Jan 26, 2010.

 1. l

  ldleo Member

  #1
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Kama kipaji na utaalamu vingekuwa na jina lingine basi ingekuwa ni DJ MOSY ama Emanuel Moses Onasaa. Ni mzaliwa wa Africa ya mashariki mjini Dar es salaam nchini Tanzania.

  Bali ya kuwa na vipaji vingi Kijana huyu pia ni muwajibikaji sana katika kazi zake za usanii.
  Alipenda muziki tokea akiwa na umri mdogo na kumpelekea kujifunza zaidi kuhusu maswala ya muziki . Anaamini kwamba muziki ndio unaotufanya kufanikisha malengo yetu mengi kwenye maisha. Kwani muziki unatuburudisha, unatuliwaza, unatuelimisha, na pia unaweza kutuonya kwa yajayo. Na ndio maana yupo kukuletea kile kitakacho uburudisha moyo wako. Akiwa mitamboni hapa Radio chinia kimataifa kazi yake ni moja tuu, kuhakikisha unaburudika na kuelimika na yanyoendelea katika ulimwengu wa muziki.
  Mwaka huu tulifuatana na Dj Mosy kusherehekea X'mas nchini China.
  Angalia Video click here:
  http://swahili.cri.cn/141/2009/12/28/Zt1s95487.htm
   
Loading...