Haki Za Mashoga!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haki Za Mashoga!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Boflo, Jan 20, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Najua wengi mtakuwa na mtazamo hasi juu ya hii habari,kabla sijaanza kueleza juu ya haki za mashoga, ningependa ujue kwa nini mtu anakuwa shoga? Kila mtu atakuwa anajua, unapozaliwa una kuwa na hormons za kike na kiume,unaweza ukazaliwa mwanamme lakini ukawa na hormons za kike nyingi kuliko za kiume, hapo ndipo unapokuwa shoga, na kwa mwanamke ni vice versa. Sasa mtu ana kosa gani kuwa shoga?? Hayo ni maumbile.Afrika tuko nyuma kwa mambo mengi sana,Uganda wametangaza Mashoga wakikamatwa watafungwa jela maisha, majuzi tu Malawi walijitokeza mashoga hadharani, wakakamatwa na kesekwa lupango, Tanzani na Afrika nzima, mashoga wamekuwa wakinyanyaswa na kunyimwa haki zao za msingi.Ningependa mtoe mchango wenu wa mawazo nini kifanyike ili haki iweko juu ya mashoga.

  President Clinton promised homosexual and lesbian groups support for a national gay rights law which would make homosexuality a constitutionally protected civil right. Such a law could give homosexuals, pedophiles, and sado-masochists the same preferred standing at law that is now enjoyed by blacks, Hispanics, women, and the physically handicapped. They want to give a man who marries another man the same rights as a husband and wife and make it illegal for churches and other religious groups to "discriminate" against homosexuals in their hiring practices.

  Liberals and homosexual groups have been pushing through Congress so-called "Hate Crimes" legislation that expands the current definition of hate crimes to include offenses based on sexual orientation, gender and disability.
  The influential homosexual newspaper, the Washington Blade, reported that Clinton's first priority was to pass laws that will protect homosexuals from hiring practices. The Lesbian and Gay Advocacy Project to Reelect Bill Clinton and Al Gore said, "He is the first President to be personally and publicly committed to the principles of equality and acceptance for gays and lesbians. He has done so many things to make our lives better, safer, and more secure."
   
 2. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Hatutizami haki ya mmoja kama haki pale ambapo inathulumu haki za wengi. Tunajaribu kuangalia haki ya uhifadhi wa uhai katika kike na kiume ni nini? Kwa hakika ni mwendelezo wa uhai. Je jinsia moja zinaweza hifadhi mwendelezo wa uzao? Hapana!! Sasa hiki ni kichaka yanayotaka kujifichia majini ya ngono hivyo kinapaswa kichomwe moto. Hiyo ndio stahiki yake. Kama mwanaume anadai kuwa na homon za kike je hilo dume basha nalo lina uadilifu gani?
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Jan 21, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,596
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Bwabwa wewe shoga?

  haki gani wanazitaka? kwani nani kawanyima? kwani wakati sheria zinawekwa wao walikuwa wapi?
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Tayyib, I could n't agree further.

  Kuna point hapa inafichwa. Kuwa gay na kuwa active gay ni vitu viwili tofauti. Kuwa gay sio kosa, na kuwa active gay ndio kansa ya jamii au dunia kwa sasa, baada ya ile ya ugaidi na kufuata dini zinachochea kujiua na mauaji.
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Ukishaona mtu anawaunganisha "homosexuals, pedophiles, and sado-masochists" kwenye kundi moja, ujue hana point kabisa. Wapeni haki yao bwana, kwani wanachofanya wao nyie inawahusu nini?

  Hii point ya kuendeleza uzazi ni bulshit, homosexuality sio ugonjwa wa kuambukiza, sio kwamba kuna siku tutaamka wote homosexuals, homosexuals watakuwepo na heterosexuals wa kuendeleza kizazi watakuwepo. Live and let live!
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ndugu mtoa mada, your user ID and date of registration says it all. Mtu una jiita Bwabwa?
   
 7. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ..........Mashoga hawana haki yoyote, hata kama mtaipata hiyo haki itakuwa ya makaratasi tu hapa duniani.
  Lakini kamwe hamtakuwa na haki mbele ya Mungu na jamii vile vile itawashangaa milele. Uliumbwa ili uwe mwanaume halafu leo unageuzwa eti unataka haki, haki gani unayoitaka wewe shoga? Huna haya wala huoni vibaya mwanaume wewe!! Hata kama huonekani inabidi uwe na hofu ya Mungu wewe.
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,608
  Trophy Points: 280
  Ndiyo matatizo ya kutoyapitia majina ya wanachama wanaojiunga kabla ya kuyaruhusu kama yanafaa kuwepo jamvini au la. Wakati umefika sasa wa MODS kutafuta namna ya kuyapitia majina ya wanachama wapya ili kusiwe na majina ambayo hayaendeani na maadili yetu ya Kitanzania, vinginevyo hali siku za usoni inaweza kuwa mbaya sana.
   
 9. B

  Bull JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Umejawa na chuki na upeo mdogo sana kuhusu dini nyingine, hata kama mada si yadini lazima uingize udini wako!!!! na wala hujui lolote kuhusu dini zaidi ya chuki.

  Hivi wale wachungaji wanao promote u-gay kule kanisani wanaeneza dini au kansa makanisani? na wewe utabaki huko kuwa gay au kupata kansa? bora tafuta dini isiyiyo promote hizo cancer za ugei.
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Umekuwa wa pili kuingia kwenye ignore listing 2010, maana sionagi ni kipi nitagain kwa kusoma utumbo wako kwenye posts zako. Hongera.
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2010
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Haki gani mpewe na itasaidia nini jamii...........
   
 12. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Huyu BWABWA ni SHOGA kama mtu haamini aangalie thred yake kwenye forum ya utambulisho, huko aliulizwa akasema yeye ni shoga, sasa kudadeki anataka na sie tusupport huo ufedhuli wake, anatafuta wafuasi huyu hana lolote, kama anataka haki ahamie huko haki zinapotolewa kuliko kutaka na sie turasimishe huo ujinga..,swain
   
 13. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  MUNGU hapendezwi na ushoga ni chukizo kwake! Hawa watu hawafai katika jamii kabisaaaaaaaaaaaa
   
 14. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kulaleki ID yenyewe ni Bwabwa kwa mantiki hii ndiyo jina letu muafaka kwa wanaume wanaopumuliwa kisogoni. Jamani ID nyingine tuzichunguze kabisa, zinachafua jamvi. Mambo ya demokrasia naona yawe na mipaka yake na iwekwe wazi kuwa ukiingia hapa uingie na descent ID na thread pia. Kwa nini tupoteze muda kujadili mada ambazo hazijengi? Mwingine atajibu, si lazima kuzisoma but unajua wakati mwingine unaingiwa na hasira unajikuta umeshapoteza muda kusoma thread na namna hiyo na kulazimika kujibu.
   
 15. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Ni sayansi feki kusema kwamba ushoga unatokana na hormones. Kuna ushahidi kuwa ushoga mara nyingi unatokana na mazingira na mazoea. Huko Uinigereza watoto wa kutoka kwenye familia za mabwenyeye na matajiri walikuwa wanapelekwa kwenye shule maalum binfasi za bweni (boarding schools) kama Eton wakiwa na umri mdogo. Kutokana na umri wengi walikuwa wanaanza kuingiliwa na kaka zao wakiwa wadogo. Kutokana kwamba sexual experience zao za kwanza ilikuwa ni kulawitiwa ilikuwa inawaathiri kisaikolojia na wengi wao kuishia kuwa mashoga hata ukubwani. Mambo yao walikuwa wanafanaya kwa kificho. Ndiyo hao hao ambao sasa wameanzisha, kupandikiza na kutetea kwa nguvu zote hoja ya haki za mashoga. Huku kwetu Afrika kukua kwa tabia za kishoga ni moja ya matokeo ya ukoloni mamboleo (utandawazi). Kwa vile wanapesa wazungu wakija huku wanatumia pesa kuwalawiti vijana wetu na kupandikiza fikra kuwa ulawiti/ushoga ni jambo la kawaida na haki za binadamu. Kama wakoloni wa mwanzo walivyotumia wamissionari na dini kutulainisha ili watutawale sasa hivi mbinu hiyo hiyo inatumika ila sasa wanatumia haki za binadamu. Kama ushoga ni haki ya binadamu kwa wao wazungu kwa nini wasiendelee na mambo yao bila kutulazimisha na wengine tutake tusitake? HAKUNA HAKI ZA MASHOGA. Wako huru kuendelea na mambo yao kitandani/vyumbani bila kutuhusisha. Inanihudhi sana mtu anapoanza kuongelea haki za mashoga akazilinganisha na haki za watu weusi, walemavu, n.k. Haya mambo ni tofauti.
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Jan 21, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Kwani nani amewanyima hiyo haki wanayoipigania?Kama wao ni masoga hizi kelele ni za nini sasa? Mbona hakuna mtu aliyewaulizia?
   
 17. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #17
  Jan 21, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Bwabwa umejidhalilisha kwa kujiita kwanza jina hilo wenzako gays hata huwezi kuwajua ingawa inategemea kuna aina na aina ila huwezi kukuta wanamajina ya kujidhalilisha kama hilo eti bwabwa ur not the one
   
 18. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wewe bwana ulitakiwa uje uulize km kuna namna ya kukusaidia uachane na ushoga.
  Pia hoja yako ya hormones ni ya kitoto saaana. Kwahiyo na hao wanaokula huo bwabwa na wenyewe wanakuwa na hormone za aina gani?
  Wana JF wakati fulani lazima tuwe wakweli wengi hapa wamempondea huyu bwana lakini je, ni wangapi wanananihii tiGo? Kuna tofauti gani hasa? Au tunalitazama kwa upande mmoja? Binafis naona wote ni wachafu tu hakuna mwenye afadhali na inawezekana kabisa wanaofuata tiGo kwa wanawake ndiyo hao wanaosababisha hawa mashoga wawepo. Ni vyema tuache hii tabia ya kisodoma na inawezekana kabisa ikapunguza hata ushoga.
   
 19. Hassani

  Hassani JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Natoa tamko la kulaani vikali uwepo wa bwabwa katika jf,watu kama nyie ndo mnaoleta laana katika nchi na kusababisha majanga ya asili yasiyoisha.
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ila jamani dunia uimekwisha kwa hali hii ..
  mungu atusamehe dhambi zetu
   
Loading...