Rais Mugabe akiadhimisha miaka 86 ya kuzaliwa kwake anataka akae madarakani mpaka kufa kwake source VOA. wandugu imekaaje na ukilinganisha na Sisiem na Mugabe = ............
Napenda kusema , kume kuwa na tuhuma nyingi , dhidi ya uendeshaji wa kesi inayo mtuhumu babu Seya na mwanawe kuwa hakukuwa na uangalizi mzuri kwnye ushahidi ,kitu ambacho kimepelekea wako...
Wana JF, tukitafakari kuelekea uchaguzi, maoni yangu ni kwamba tunahitaji Rais Mwendawazimu ili kumaliza au kupunguza matatizo tuliyonayo kwa sababu sifa za mwendawazimu ni pamoja na kutokuwa na...
Chile was ready for quake, Haiti wasn't
By FRANK BAJAK, Associated Press Writer Frank Bajak, Associated Press Writer Sat Feb 27, 8:44 pm ET
PORT-AU-PRINCE, Haiti The earthquake in Chile was...
Nilikuwa napenda kusoma news kutoka website hii,lakini sasa niko fed up,maana
kuna habari nyingi za matawi ya CCM UK na habari za CCM kwa ujumla ,rather than general news za maendeleo ya taifa...
Habari zenu wakuu wangu..!well.nimeona ni vyema nikawajuza kinachoendelea hapa uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu j.k.nyerere.Kuna hii ndege ya shirika la kizawa la air tanzania iliyokuwa na...
Sheria inalenga katika kuweka utaratibu wa kudhibiti matumizi ya fedha wakati wa kampeni za uchaguzi na kuweka mfumo wa kisheria wa uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma na vile vile...
Huku ikiandamwa na zimwi la kutolipa waafanyakazi wake waliowaachisha
na kufikia kwenda kwa waziri mkuu,kampuni ya ndege ya ATC imekumbwa na kashfa nyingine kwa kuajiri kampuni moja ya ulinzi...
Kila zinapotokea ajali za mabasi ya abiria sababu kubwa inaelezwa kuwa ni uzembe wa madereva, kwa maana nyingine nielewavyo mimi ni kwamba abiria wanaopoteza maisha wanakuwa wameuliwa kwa...
wezekana kweli tukawa tumetokea huko kama wanavyosema watalamu ?
Ape to Human Evolution The history of an idea
sub { line-height: 0; }a { text-decoration:none }
The idea of ape to human...
jamani kuna wale ndugu zetu waliokuwa wakifika uwanja wa ndege kila siku
kusbiri ndege ya kwenda nje kuhubiri,..na kuishia kurdishwa na magari ya polisi kutokana na usumbufu wa mara kwa...
Kama wewe ni mtembeleaji wa Tovuti kama Facebook pamoja na Hi5 utakuwa umeona baadhi ya vijimambo vinavyoendelea katika tovuti hivyo, mfano unapojiunga na tovuti hizo inakuwa na sehemu maalumu...
Jiji la Mbeya lageuzwa 'shamba la bibi'
KWA serikali Shilingi milioni 68.2 ni pesa kidogo sana, na kwa mafisadi hiyo sio pesa kabisa kwao kwani inawatosha kununulia whisky tu, lakini kwa...
Mkapa anataka azomewe vipi zaidi?
HIVI karibuni jina la Mkapa lilirejea kupamba tena kurasa za magazeti yetu kadhaa nchini.
Mara ya kwanza ilikuwa ni kwenye kilele cha...
Wezi Wapora Duka na Kumsahau Mtoto Wao
Monday, March 01, 2010 5:24 AM
Polisi nchini Marekani wanawatafuta wezi waliovamia duka moja la madini na vito vya thamani na kuiba kabla ya kukimbia...
MKAZI wa Kijiji cha Bahaba wilayani Kondoa mkoani Dodoma, Degera Tamba (23), amefariki dunia baada ya kuchomwa mshale tumboni na watu wasiojulikana baada ya kumuhisi kuwa ni digidigi.
Hayo...
BAADA ya Mchungaji wa Kanisa la Uponyaji, Edward Kishimbo kukamatwa na polisi kwa kukutwa akijiunganishia na kutumia umeme wa Shirika la Umeme (Tanesco) katika kanisa lake isivyo halali, waumini...
WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja amempa saa 24 Meneja wa Mamlaka ya Maji Wilaya ya Sengerema, Thomas Mwenda kuhakikisha kuwa mradi wa maji wa Nyamazugo unasambaza maji haraka kwa...
MBUNGE wa Maswa, John Shibuda, amemtaka Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kufanya ziara wilayani humo, ili kuisafisha kutokana na kukithiri kwa vitendo vya rushwa kama alivyofanya katika Wilaya ya...