Tofauti ya Dereva mzembe na Jambazi iko wapi?

Tofauti ya Dereva mzembe na Jambazi iko wapi?

Saharavoice

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
4,057
Reaction score
2,637
Kila zinapotokea ajali za mabasi ya abiria sababu kubwa inaelezwa kuwa ni uzembe wa madereva, kwa maana nyingine nielewavyo mimi ni kwamba abiria wanaopoteza maisha wanakuwa wameuliwa kwa kukusudia. na wale wanaopata ulemevu pia wasababishiwa kwa makusudi. kama ndivyo hivyo kwa nini sheria isiwabane kama ile ya majambazi? Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom