Wapi wasabato masalia??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
jamani kuna wale ndugu zetu waliokuwa wakifika uwanja wa ndege kila siku
kusbiri ndege ya kwenda nje kuhubiri,..na kuishia kurdishwa na magari ya polisi kutokana na usumbufu wa mara kwa mara,..wao waliamini tkt yao ni biblia,..visa ni vitabu vya kwaya....walikuwa wana ujumbe mzuri kwa jamii sema jinsi ya kuuleta ndipo walipokosea....ni karibu mwaka sasa wamepotea kabisa hata pale tabata awakai tena jamani wameenda wapi???Wasije kuwa wamechukuliwa misukule ...tukaanze kazi na mch gwajima fasta ya kuwarudisha ....
mwenye taarifa abarikiwe
 
Wamesalia kaka wewe hujui...

wapi uko mkuu

ama walifanikiwa kuruka masafa ya nje kama walivyokuwa wakiita....mnakwenda wapi...jb
masafa ya nje mbali kabisa alafu awajibu tena...ama walikuwa misukule wale jamani??
 
ninavyojua walikuwa na kesi sijui iliishaje nahisi wako ndani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom