Kwa waendesha pikipiki Dar: Kuweni makini na majanga kama haya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa waendesha pikipiki Dar: Kuweni makini na majanga kama haya!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pape, Mar 2, 2010.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=RI26FY_SRfY"]YouTube- Ajali haina kinga.wmv[/ame]
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=eW3jbpYaA48"]YouTube- Helmet can save your life - Dont overtake if the road is NOT clear.wmv[/ame]
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Du mzinga kweli kweli; nilipita pale Magomeni polisi hivi karibuni nilitamani ningekuwa na kamera nipige picha mabaki ya pikipiki yaliyokuwa yameletwa wakati huona pita; Yalikuwa yametapakaa damu utadhani ndio mtu alikuwa anaipakaa kama rangi! Nilijisikia vibaya sana nikijaribu ku imagine mwendesha piki pikia ana hali gani huko aliko!
   
 3. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,081
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Aisee inatisha! sasa nani wa kulaumiwa hapo? Madereva au serikali?
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  inatia huruma!

  hapo ni wote!
   
Loading...