Mchango wa Babu Seya na Papii Kocha

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
834
151
Napenda kusema , kume kuwa na tuhuma nyingi , dhidi ya uendeshaji wa kesi inayo mtuhumu babu Seya na mwanawe kuwa hakukuwa na uangalizi mzuri kwnye ushahidi ,kitu ambacho kimepelekea wako kukataliwa rufani yao.
Nimetoka kuangalia blog moja na imeoneysha ile barua ambayo Papii Kocha kamwandikia Mheshimiwa raisi ili aweze pata msamaha.

Kilicho nishangaza watu wengi wana toa maoni kwa kuweka hisia kuwa kijana kaonewa na baadhi ya tuhumu sinaelekezwa kwa Mkuu (habari za Mitaani) kua yeye ndio kasababisha wao kufungwa.

Kwa kwlei imenikera sana hizo tuuma kwa sababu ukisoma ile hukumu na kusoma ushahidi ulio tolewa unaonyesha uhatia wa huyu babu seya na mwanaye waziwazi na still bado watu wanatoa maoni kuwa ni wameonewa, sasa sijui hi ni kwasababu wao wanapiga mziki mzuri au ni kwa ushahidi upi.

Kwa wote walioguswa na hili , mbona kazi ni rahisi, kwanini msiungane wote mkafanya harambee mkachanga hayo mamillioni yenu na mka tafuta lawyer ambaye labda toka nje ya nchi kwa tasisi zinazo eleweka kwa ubbobeaji wa uchunguzi ili waweze review hii kesi? maana tume choshwa na hizi tuuma kila siku eti wameonewa na kumfanya raisi wetu ni mjinga na anahangaika na ujinga huu wakufunga watu na eti kulipizana kisasi.

Asante!
 
hao wanolalalma huenda hata hawajazaa wanjua kunengua viuno tu na kumega watoto wa watu.

mwano afanyiwe ufirauni ule halafu useme apewe msamaha wa rais kisa mwanmuziki, au nani aliyewaroga watanzania kuwa jela haiwahusu wanamuziki? wamesahau mara hii kuwa sheria ni msumeno?

sio siri, mi ningefurahi kama wangenyongwa kabisa. bora dunia isiwe na muziki kuliko kuwa na wanamuziki mashetani................ule ufirauni haufikiriki!!!!!!!!!! bahati yao tanzania ina rais mpole................ ningekuwa mimi mbona mngekwisha wasahau zamani sana........................
 
Umaarufu wao isiwe hoja ya kuwatetea kwa unyama walioufanya.Tukumbuke hata MAUMBA miaka ya 80 alifungwa miaka saba(7) na ashukru sheria ya kifungo cha maisha kwa makosa hayo ilkuwa bado,vingenevyo nayeye angesotea maisha gerezani. Je haki iko wapi kwa hao watoto waliofanyiwa huo unyama?
 
Badili signature, hutakiwi hata kujadili mambo ya Tanzania, kama hauipendi!
 
Mtoa mada mwenyewe signature yake inasema I HATE TANZANIA sasa unaitetea nini Tanzania yetu, Nenda katetee nchi unayoipenda achana na Nchi yetu.
 
Napenda kusema , kume kuwa na tuhuma nyingi , dhidi ya uendeshaji wa kesi inayo mtuhumu babu Seya na mwanawe kuwa hakukuwa na uangalizi mzuri kwnye ushahidi ,kitu ambacho kimepelekea wako kukataliwa rufani yao.
Nimetoka kuangalia blog moja na imeoneysha ile barua ambayo Papii Kocha kamwandikia Mheshimiwa raisi ili aweze pata msamaha.

Kilicho nishangaza watu wengi wana toa maoni kwa kuweka hisia kuwa kijana kaonewa na baadhi ya tuhumu sinaelekezwa kwa Mkuu (habari za Mitaani) kua yeye ndio kasababisha wao kufungwa.

Kwa kwlei imenikera sana hizo tuuma kwa sababu ukisoma ile hukumu na kusoma ushahidi ulio tolewa unaonyesha uhatia wa huyu babu seya na mwanaye waziwazi na still bado watu wanatoa maoni kuwa ni wameonewa, sasa sijui hi ni kwasababu wao wanapiga mziki mzuri au ni kwa ushahidi upi.

Kwa wote walioguswa na hili , mbona kazi ni rahisi, kwanini msiungane wote mkafanya harambee mkachanga hayo mamillioni yenu na mka tafuta lawyer ambaye labda toka nje ya nchi kwa tasisi zinazo eleweka kwa ubbobeaji wa uchunguzi ili waweze review hii kesi? maana tume choshwa na hizi tuuma kila siku eti wameonewa na kumfanya raisi wetu ni mjinga na anahangaika na ujinga huu wakufunga watu na eti kulipizana kisasi . .Asante!

sis watanzania ni wazuri sana kulalama, kwahiyo rest assured kwamba hakuna atakayeanzisha huo mfuko!!!

sisi pia ni mabingwa wa fabrication, imefikia hatua sasa wengi wetu hatujui hata kilicho kweli au la....

kibaya zaidi ni kwamba pamoja na sisi kukosa facts, habari inamhusu mkulu, really sad!!!

Nguza hatakuwa mtu wa kwanza kufungwa kwa uonevu kama ni kweli ameonewa!! cha maana kwa sasa ni kwamba pamoja na harakati nyingine za kumsaidia (kama zipo serious), tujiulize na kuangalia namna ya kuboresha haki na wajibu kama watz na sio kila kitu kuachia serikali

BTW, we mtoto wa kishua... siipendi hiyo signature yako kabisa!!! do something please
 
Majuto Mjukuu. Inasikitisha sana kwa vitendo walivyowafanyia wale watoto.
 
Mtoa mada, hiyo signature yako na mada yako haviendani kabisa. Inaonekana ni wewe ndiye unayelalama mitaani. If you hate Tanzania, get out of Tanzania, nyambafu we.
 
Huwa nakafikiria sana katoto kangu jamani mungu akanusuru akalinde na akaipushe na mabaya yote ya dunia hii
Amen
 
Kama wana makosa waendelee kulijua jiji, kuomba msamaha kwa rais ni kuonesha they are GUILTY. Kama hawangekuwa guilty wangetafuta means zezote wakaponyoka kutoka kwa mkono wa sheria.

Lakini I can't rule out conspiracy theories nyingine, maana this is bongo na kila kitu kinaezekana bongo ISIPOKUWA mambo ya maana.
 
Mtoa mada mwenyewe signature yake inasema I HATE TANZANIA sasa unaitetea nini Tanzania yetu, Nenda katetee nchi unayoipenda achana na Nchi yetu.

Domo Kaya I hate your avantar. It is too satanic. Wewe ni mshirika wa dini ya shetani?
 
Kama wana makosa waendelee kulijua jiji, kuomba msamaha kwa rais ni kuonesha they are GUILTY. Kama hawangekuwa guilty wangetafuta means zezote wakaponyoka kutoka kwa mkono wa sheria.

Lakini I can't rule out conspiracy theories nyingine, maana this is bongo na kila kitu kinaezekana bongo ISIPOKUWA mambo ya maana.

Mkuu hapo umenena, hebu tujiulize kidogo
- Ya Zombe je?
- Kagoda je?
- EPA je?
-Richmond je?

Yote si tumeyashuhudia na yote ni safi tu! HII BONGO BWANA kama hayaja kuifika waweza dhani hayawezekani!
 
Kuna habari kuwa walikuwa wakiwaingilia wale watoto kama mradi wa familia kwani walikuwa wakichua picha za video na kuziuza nchini ufaransa
 
Kuna habari kuwa walikuwa wakiwaingilia wale watoto kama mradi wa familia kwani walikuwa wakichua picha za video na kuziuza nchini ufaransa

Ati nini? Kuna ushahidi wa hili maana kama ni kweli basi wamevuna walichopanda.
 
Mkuu hapo umenena, hebu tujiulize kidogo
- Ya Zombe je?
- Kagoda je?
- EPA je?
-Richmond je?

Yote si tumeyashuhudia na yote ni safi tu! HII BONGO BWANA kama hayaja kuifika waweza dhani hayawezekani!

Hiyo ya Richmond ndo inaboa sana ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom