JK Si mwendawazimu, Hafai kutuongoza kwa sasa, Je, tunaye mwendawazimu?


Saharavoice

Saharavoice

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Messages
2,728
Likes
293
Points
180
Saharavoice

Saharavoice

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2007
2,728 293 180
Wana JF, tukitafakari kuelekea uchaguzi, maoni yangu ni kwamba tunahitaji Rais Mwendawazimu ili kumaliza au kupunguza matatizo tuliyonayo kwa sababu sifa za mwendawazimu ni pamoja na kutokuwa na Haya. JK ana Haya hawezi kumaliza tatizo la Rushwa, Kashfa mbalimbali ndani ya Serikali yetu. Mfumo wa uongozi wetu (kupeana madaraka ki-rafiki/ki-ndugu) hauhitaji Rais wa aina ya JK. Je, tunaye kiongozi yeyote kwa sasa aidha ndani ya serikali ya JK au kutoka upinzani asiye na Haya? (yaani Mwendawazimu)?
 
Ngomo

Ngomo

Senior Member
Joined
Oct 15, 2009
Messages
199
Likes
44
Points
45
Ngomo

Ngomo

Senior Member
Joined Oct 15, 2009
199 44 45
wendawazimu ni sisi sote tunao angalia mambo yakienda hovyo bila kuchukua hatua zozote
 
Regia Mtema

Regia Mtema

R I P
Joined
Nov 21, 2009
Messages
2,974
Likes
32
Points
0
Regia Mtema

Regia Mtema

R I P
Joined Nov 21, 2009
2,974 32 0
Ndugu yangu,mimi naona wewe ume vise vesra,JK ni mwendawazimu hana aibu nao maana hata hajaili kelele za watanzania.
 

Forum statistics

Threads 1,251,756
Members 481,857
Posts 29,784,014