Nilikuwa napenda kusoma news kutoka website hii,lakini sasa niko fed up,maana
kuna habari nyingi za matawi ya CCM UK na habari za CCM kwa ujumla ,rather than general news za maendeleo ya taifa letu.Huwezi kukosa habari za John Lusingu na Susana Mzee na picha zake ,na mikutano ya chama.
Ufisadi unavuka miaka.