Kigogo aingiza kampuni yake ya ulinzi atcl | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigogo aingiza kampuni yake ya ulinzi atcl

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Feb 27, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 36,052
  Likes Received: 6,835
  Trophy Points: 280
  Huku ikiandamwa na zimwi la kutolipa waafanyakazi wake waliowaachisha
  na kufikia kwenda kwa waziri mkuu,kampuni ya ndege ya ATC imekumbwa na kashfa nyingine kwa kuajiri kampuni moja ya ulinzi ambayo wadau waliamua kutafuta wawekezaji wao...
  katika kuwahoji baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo ya ulinzi walianza kuelezea jinsi walivyoitwa kwa ajili ya ajira hivi karibuni
  mchezo halisi inasemekana hii kampuni ni ya mmoja wa Kigogo wa kampuni hiyo ambae pia anahusika na udokozi wa pesa za magari ya ATC kwa kumuunganishia ndugu yake ama mjomba kuleta magari toka dubai Bw MASHAKA,baadhi ya magari mpaka leo hii yajulikani yanatoka lini.
  katika upelelezi wetu kampuni hii aina hata miezi sita katika ulinzi...cha ajabu inalinda mali za kampuni kubwa ya ndege;mkuu wa kitengo cha ulinzi cha atc alipoulizwa alielekeza kwenda kwa bw mmoja ambae nae alikaata kutoa ushirikiano akisema ikaulizwe menejiment husika
  Huku wakiongea kwa masikitiko baadhi ya wafanyakazi wa ATC wanasema hii kampuni atujui hata wamewaokota wapiwatu hawa,...unakuta hata pale mbele wanapocheki abiria mtu badala ya kuwapanga abiria anaenda kusimama nao...kana kwamba anasubiri kupewa heshima
  wengine hata wakija wanakuja na unifomu chafu na raba nyeupe kama wanaenda shule.....mmoja wa wafanyakazi alipoulizwa alidai hawa wahuni wameleta walinzi awana hata shule sijui wamewatoa shamba,...na hii ni baada ya kushindwa kuwalipa ULTIMATE SECURITY na KK SECURITY

  Haya ndio MATUNDA ya J KIKWETE na USWAHIBA MAKAZINI
   
 2. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 6,154
  Likes Received: 5,710
  Trophy Points: 280
  Mkuu, hii stori yako ni very interesting - it is anti-nepotism. Unaweza ukai-autenticate kwa kubandika original yake, i.e source??
   
 3. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,494
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 145
  Sasa JK anaingiaje hapo?.
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 36,052
  Likes Received: 6,835
  Trophy Points: 280
  bado mna verse za ATC??
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,919
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  tunaomba original ya taarifa hii, pia tutajie jina la huyo kigogo
   
 6. D

  Dalilah Member

  #6
  Mar 2, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 47
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Ukiisoma tu "hadithi hii" unajua mtuzi wake ni "abunuasi" aliyetimuliwa ATCL kwa hiyo anajitahidi kupaka Menejimenti na JK matope, Story haina kichwa wala miguu, na jinsi Abunuasi huyu alivyojaribu bila mafanikio kumburuza JK kwenye hadithi yake isiyo na mvuto. JF watoa shutuma kama hawa watuletee vithibitisho sio porojo tu.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...