Tetesi:Eti Mzee Yusuph Amefariki?

Tetesi:Eti Mzee Yusuph Amefariki?

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,783
Mwenye khabari atujuze jamani kama kweli au la!
 
Si kweli jana kuliikuwa na tetesi hizo.Ukweli ni kuwa Mzee Yusuph alikuwa anaumwa na alilazwa kwa muda Mkoani Pwani lakini kwa sasa yuko Zanzibara buheri wa afya.Nimesikia taarifa za kukanusha tetesi za kifo hicho kupitia TBC FM
 
Back
Top Bottom