Sera Zingine kwa kweli ni Maudhi Matupu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sera Zingine kwa kweli ni Maudhi Matupu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Juma Contena, Jan 23, 2011.

 1. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wajameni nimechukua hii picha kutoka kwenye blog ya ankal, binafsi imenikera sana. Kuna sababu gani ya kuweka shule ya maalbino kwenye jamii yetu. Kwanini hawa watoto wasiende shule zenye mchanganyiko na watoto wa rika lao katika jamii.

  Kama tatizo ni disability au prejudice kwanini serikali inashindwa kutoa darasa la kijamii na kutoa adhabu sahihi katika shule husika kwa kushindwa kuwalinda hawa watoto. Kuna tofauti gani kati ya mtoto albino na mwingine; what next shule ya watoto walemavu.

  Huku ni kuwapa hawa watoto psychological impairment early in life na kuwapunguzia self esteem later in life. It is unacceptable and a discriminatory way of bringing up these children. At their stage in life they need to be with other kids and learn social skills equally, those skills can only be acquired at school playrounds (ngumi ikiwa moja wapo kama jamaa analeta za kuleta, and the need to interact with other children of all sorts of behaviours).

  They are part of the whole and they shouldn't be segregated at this age, its just pathetic.
  [​IMG]
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Hoja yako ina ka ukweli, ila nadhani shule hii iko kanda ya ziwa ambako inasemekana kuwa viungo vya hawa watoto wetu vinawindwa mno, so kwa sasa inaweza kuwa ni bora kuwaweka mahali pao pa kipekee isipokuwa nakuunga mkono kuwa it is demaging.
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yani wanaanza kuwaonyesha na kuwafundisha mapema hii kwamba hawawezi..hawafai au hawastahili kujumuika na watu wengine!Unadhani kesho wataweza kujiamini kiasi cha kuweza kufanya kazi kati ya watu ambao wametengwa nao tangu utoto?Embu waache umbumbu na wawaruhusu watoto kua na watoto wenzao!
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Sikubaliana na hili kabisa inaonyesha kama vile ni kuwabagua kwa kuwaweka kwenye shule zao peke yao
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Tunashukuru ule unyama dhidi yao unatoweka taratibu,ndugu zangu wa kanda ya ziwa tupo pamoja sasa
   
 6. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  This is simply a protective measure!
  Kwani albino waliosoma shule za kawaida hawakubaguliwa na kutengwa na kwa kiasi fulani kuchangia hii hali tuliyonayo sasa ivi?
  Data gani zinaonyesha kuwa kutengwa kwao kutawadumuza na kuwa-impair?
  Hili swala lina tofauti gani na special schools kama ilboro nk ambapo the so called intelligent students were sent?
  Kama hizo special school zilifanyikiwa, kwa nini hii ishindwe?
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Sababu ya kuwa na shule yao binafsi ni za kiusalama zaidi, mwanzo kabla ya mauaji hayajaanza walikuwa wanasoma shule za mchanganyiko, wakiishi na wazazi/walezi wao. Baada ya wauaji kuanza kuwafuatilia majumbani kwao usiku na kuwavizia njiani wanapotoka shule, serikali ilitenga shule maalum zenye mabweni na ulinzi wa kutosha, hivyo watoto wote maalibino wa mkoa mzima walichukuliwa na kuwekwa shule moja yenye ulinzi mkali wa kutosha.

  Tangu mpango huu uanze taarifa za vifo zimepungua sana au hazijasikika kwa muda mrefu. Nadhani tukubali hatua hii imeleta unafuu mkubwa kwa hawa watoto na wazazi wao.
   
 8. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Dunia imetangulia ndio binadamu na wanyama wote tukafuatia, hilo halina ubishi kisayansi au kidini.

  Advantage kubwa ya binadamu tuliyokuwa nayo dhidi ya wanyama ni intelligence, zaidi ya hapo amna lingine. Intelligence yetu ina uwezo wa ku reason and make sense out of things and situation in return we create: commonsense out of these understandings, culture, morality, reality and ways of interacting with each others.

  Today the way societies acts and peoples behaviours in society are largely the influences of our past ancestors lives and commonsense, we are just creating future influences by adapting what we have and change what is no longer commonsense in our times.

  Hivyo kwa kuzaliwa tu kwenye jamii binadamu anapoteza uhuru wa fikra binafsi largely because he has to conform to social rules and gains his life experience on these rules. Rules ambazo tunafundishwa tangia utotoni na kuzitumia tukiwa wakubwa, unfortunately no society behaves alike today, it is a proof that we are pretty much products of our environment and thouhts that have been inputted in our minds. It is that process which gives human beings their minds set and ways of looking at things.

  Serikali today ndio chombo chenye huwezo wa kubadilisha tabia kupitia sheria, kwa sababu sheria ni kanuni za kuheshimiwa na jamii ambazo kila mtu anatakiwa azifuate au ata azibiwa. In turn inabadilisha tabia on a large scale, ndio sababu serikali za wenzetu wana vitu kama quango's katika kila sector ya wizara muhimu kijamii hili wasomi wanaoelewa tabia, siasa, uchumi na kadhalika kuwashauri what next in term of changing social commonsense.

  Ameandika Peter Morea kwenye kitabu chake cha 'Personality' yafuatayo "Commonsense is changing body of knowledge and it is sometimes wrong. It was once obvious that the sun went round the earth and the earth was flat, you had only to use your eyes for the obvious to unfold. Now it is common knowledge that the sun does not go round the earth and that the earth is not flat. Commonsense changes and develops, and there is an interaction between commonsense and the growth of knowledge".

  Leo tunahishi kwenye almost a global village ambapo kuna ethics ambazo wasomi wa nchi nyingine wameshatumia kubadilisha commonsense huko makwao. Na sisi lazima tuwe na sera endelevu, human liberty comes first kuliko ways of life ambazo zinakandamiza uhuru wa mtu.

  Hatuwezi kuendekeza waganga mbele ya haki za binadamu. Yaani tutenge shule ya walemavu kisa watu wachache wanaona viuongo vyao sijui vina leta utajiri, ni sisi kama jamii ndio tutakuwa tume fail, part of the whole na kuwakandamiza maalibino.

  Ni waganga ndio wakunyongwa na si maalbino kuwekea shule au tunataka hizi shule ziendelee mpaka karne ijayo, its about time we got rid of hawa inhumane individuals katika jamii yetu kama wanapotosha watu. Polisi wakiweza kuwavamia na kuwapiga risasi kisisiri aitakuwa jambo baya kabisa.
   
Loading...