Waandishi wa habari arusha kukutana na wadau kujadili mitafaruku baina yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi wa habari arusha kukutana na wadau kujadili mitafaruku baina yao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BigMan, Jan 22, 2011.

 1. B

  BigMan JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2011
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  kutokana na mitafaruku iliyojitokeza hivi karibuni ikiwemo tukio la polisi kuharibu vitendea kazi vya wanahabari na kuwapiga wakati wa maandamano ya chadema jijini arusha januari 05,2011,waandishi wa habari wa arusha wa arusha kwa kushirikiana na muungano wa klabu za waandishi wa habari nchini sasa wamepanga kukutana na wadau wote ambao pia watapata fursa ya kuwanyooshea vidole waandishi wote wanaolazimisha mishiko na kuwatisha.WADAU WOTE MANATAKIWA KUTOKOSA KABISA JUMUIKO HILO.


  ARUSHA PRESS CLUB (APC)
  P .O. BOX 6011
  ARUSHA- TANZANIA
  TEL;0713-231752/0754-299861​
  Email;arushapressclub@gmail.com​

  [​IMG]
  20/1/2011
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]YAH: MKUTANO BAINA YA WADAU NA WAANDISHI WA MKOA WA ARUSHA[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Unaalikwa kuhudhuria mkutano baina ya waandishi wa habari na wadau wa mkoa wa Arusha, utakaofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Azimio la Arusha tarehe 28/1/2011 kuanzia saa 2.30 asubuhi.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]APC kwa kushirikiana na UTPC wameamua kuitisha mkutano huo, ili kutoa fursa kwa wadau na waandishi wa habari, kukutana kujadiliana changamoto zinazowakabili.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Hivi karibuni mahusiano baina ya wadau na waandishi yamezorota sana, ambapo kila mmoja anamtupia lawama mwenzie. Yapo malalamiko mengi toka kwa wadau dhidi ya mwenendo mbaya wa waandishi, na pia yapo malalamiko ya waandishi dhidi ya wadau kuwapiga na kuwavunjia vifaa waandishi.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Kutokana na umuhimu wa wadau na waandishi, imeonekana ni vyema kuwakutanisha kwa azma ya kutafuta ufumbuzi wa matatizo haya.[/FONT]
  [FONT=&quot]Kwa kuwa wewe ni mdau muhimu unaombwa usikose kuhudhuria mkutano huu.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Ratiba ya mkutano utaikuta ukumbini.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Natanguliza shukrani[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Katibu Mkuu[/FONT]
  [FONT=&quot]Eliya Mbonea[/FONT]
   
Loading...