Majonzi, udsm. engineers tumempoteza one of young doctors.

Majonzi, udsm. engineers tumempoteza one of young doctors.

menyidyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2010
Posts
1,339
Reaction score
194
ni katika idara ya civil and water resourse. dr kimaro is no more. amefariki katika ajali ya gari iliyotokea leo mapema dodoma.
 
wajameni poleni sana wahandisi tupo pamoja
 
Poleni,ila ajali ilitokea jmatano dodoma na kulazwa moja ya hospitali Moro mpaka alipoamishiwa Muhimbili na kufanyiwa upasuaji wa kichwa usiku wa kuamkia ijumaa ndipo alipofia ICU leo asubuhi
 
TUMAINI ndilo jina lake kama sikosei.
Poleni wafiwa na jamaa wote. JF inaungana nanyi kwenye kuwafariji na kuwaombea amani. Roho yake ipumzike kwa amani

 
Back
Top Bottom