Speach of the week (my opinion) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Speach of the week (my opinion)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mlachake, Jan 23, 2011.

 1. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  This was my best Speech of the week

  "Naomba wananchi wafahamu kuwa siwezi kufungwa mdomo kupinga malipo kwa kampuni ya kitapeli ya Dowans."

  ”Haraka ya kuilipa Dowans ni ya nini? Nchi hii ina madeni ya muda mrefu kama yale ya Benki ya Dunia na IMF lakini hakuna uharaka wa kulipa kama huu, sasa kasi hii inatoka wapi?"

  "Sijawahi kuitwa popote wala na mtu yeyote na kuambiwa nisizungumze suala hilo, nitaendelea kupinga malipo ya Dowans. Hivyo wananchi wasifikiri nimebadili msimamo.

  "Taarifa zinazosambaa ni za kupikwa tu, zisije zikawapotosha wananchi wakadhani nimewasaliti katika hili, narudia tena sijafungwa mdomo,"


  "Halafu kuna watu wanazungumzia nimekiuka dhana ya uwajibikaji wa pamoja, uwajibikaji wa pamoja ni lazima uamuzi ushirikishe wengine si mmoja kuamua halafu ifahamike ni uwajibikaji wa pamoja,"
   
Loading...