Dr slaa kalazwa moi

Dr slaa kalazwa moi

superfisadi

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2009
Posts
553
Reaction score
54
Dr SLAA amefanyiwa upasuaji mdogo kwenye mkono aliovunjika
Anapatiwa matibabu Moi
Source wakili Albert Msando amesema mahakamani arusha leo asubuhi
 
Ni muhimu kwenda kumuona Dr Slaa hospitalini kesho kama wataturuhusu kuingia kumuona.
 
Angalizo: kwenye mila zetu mwanamme akivunjika mkono/mguu na kazidi miaka 40 huwa anatenganishwa na mkewe/mpenzi mpaka apone.
 
Apome mapema tuelndelee na harakati za ukombozi wa nchi hii!
 
jamani wana jf punguzeni matusi na jazba,,, huyu mtu ana akili fupi, achaneni nae....
 
Dr SLAA amefanyiwa upasuaji mdogo kwenye mkono aliovunjika
Anapatiwa matibabu Moi
Source wakili Albert Msando amesema mahakamani arusha leo asubuhi

Naona anaendelea vema tunae hapa kwenye Kongamano Mabibo.Kama kawaida anatoa elimu na kufungua ufahamu wa watu.
 
Alifanyiwa upasuaji mdogo lakini sasa hivi yupo Mabibo. Ukweli ni kwamba Dr ni mpambanaji. Pamoja na kuumwa kwake bado yuko mstari wa mbele kupambana haki itendeke. Mungu atambariki siku zote.
 
Alifanyiwa upasuaji mdogo lakini sasa hivi yupo Mabibo. Ukweli ni kwamba Dr ni mpambanaji. Pamoja na kuumwa kwake bado yuko mstari wa mbele kupambana haki itendeke. Mungu atambariki siku zote.

naomba alindwe zaidi ya mfalme pale moi. Hawachelewi kucheza dili na kumfanyia operation ya kichwa badala ya mkono. Plz plz,if my invisible president akifanyiwa hila yoyote,mi naingia barabarani. Dr.wa ukweli,ugua pole!wish u fast recovery!
 
Dr SLAA amefanyiwa upasuaji mdogo kwenye mkono aliovunjika
Anapatiwa matibabu Moi
Source wakili Albert Msando amesema mahakamani arusha leo asubuhi

God loves you, the president of 'the people' and the nation
u will heal-up soon!
 
Get well Mchungaji, tunakusubiri ujibu mashtaka
 
Tunashukuru kama unaendelea vizuri kipenzi cha watanzania. Tunakusubiri uongoze mapambano ya kuikomboa nchi yetu.
 
Back
Top Bottom