Ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria, unahitaji jumla ya Shilingi bilioni nne (sawa na dola milioni 3.7 za Marekani) kwa ajili ya ujenzi wa jengo la ofisi na makazi ya kudumu ya balozi.
Ubalozi...
Katika hili una maoni gani kwa Rais kikwete na balaza lake la mawaziri?
Hukumu ya TRL leo
na Betty Kangonga
RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajia kukutana na Baraza la Mawaziri kwa ajili ya...
Magari yakwama, trekta layakwamua
Helikopta ya jeshi yaitwa kuokoa jahazi
Ziara ya Rais Jakaya Kikwete kwenye kata ambayo haijawahi kutembelewa na rais yeyote tangu Tanzania ijitawale, juzi...
hi!
wanajamii namfagilia sana mm vipi asiwe raisi wetu bongo mawazo yake na mchango wake unafaa kubadiliya nchi yetu au mwaonaje.
ni mawazo na maono yangu
I have dream
CONQUEST
MATUMIZI ya fedha kwa ajili ya kujiweka katika nafasi nzuri kuteuliwa kugombea ubunge katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) yameshika kasi miezi minne kabla ya uteuzi rasmi utakaodhibitiwa kwa...
In a fitting show of solidarity for International Women's Day, First Lady Michelle Obama and Secretary of State Hillary Clinton made light of the brutal 2008 battle Clinton conducted to defeat...
Mara ya kwanza sikuamini kama kweli TUCTA wamedhamiria kutomwalika Rais na zaid wametangaza MGOMO wa wafanyakazi wote Tanzania.
Mimi ni mfanyakazi pia, sina tatizo na sababu walizozitoa kujustfy...
Ndugu zangu
Kuna tukio limetokea hapa Sinza maeneo ya Mapambano njia ya nyuma kama unaenda Mwenge kwenye miti mirefu bar moja inaitwa kwa jimmy .
Kuna vijana 2 walikuwa wanatembea njiani...
When house help is HIV-positive
Published on 06/03/2010
Related Stories
By Hellen Miseda
You leave your most precious possession your child in her care although you may not know much...
Mwananke Habiba Bilali wa Temeke alifikishawa mahakama ya kariakoo jana kwa kosa la kuingia ikulu ya Dar bila ruhsa. Alipoulizwa alikiri kuwa anataka kuwa rais mwaka huu na kaongozwa na Mungu kuwa...
Friday March 12, 2010
Local NewsGrooms death in police hands sparks row
BY FAUSTINE KAPAMA, 11th March 2010 @ 11:07, Total Comments: 0, Hits: 331
THE Police have come under fire again after a...
Kuna ajali mbaya kila kuchapo hapa nchini mwetu. Je, nani kati ya abiria, madereva na matrafiki ambao hawatimizi majukumu yao ipasavyo katika kuzuia na kumaliza ajali hizi kabisa?
By Francis Kagolo
A KENYAN student of Kampala International University (KIU) is held at Kabalagala Police station for allegedly stabbing her boyfriend to death. Jane Nyiha, a second-year student...
SIKU HIZI NI JAMBO LA KAWAIDA MTU KUVAA JEZI YA TIMU YA NJE AU YA HAPA NCHINI NA KISHA KWENDA MATEMBEZINI.
KATIKA KUISHI KWANGU NIMEKUWA NIKIONA MARA ZOTE ZINAVALIWA JEZI ZA WACHEZAJI WA NDANI...
Ikulu ni makazi ya Tanzania ni ofisi na makazi ya raisi. Ikulu yetu ilijengwa kwanza na wajerumani walipokuwa wakoloni wetu kabla ya kulipuka kwa vita kuu ya pili ya dunia ambapo mwingereza...
YADAIWA KUIKWAMISHA TAKUKURU KUSHUGHULIKIA WALA RUSHWA
RIPOTI ya Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mpango wa Kutathmini Utawala Bora nchini Tanzania (APRM), imebainisha kuwa kitendo cha kuiweka...
US envoy: Wage war on fake goods, piracy jointly
By The guardian reporter
11th March 2010
US Ambassador to Tanzania, Alfonso E. Lenhardt
Fighting counterfeiting and piracy in an...
nilikwenda kwenye forum website moja ya wazanzibar kwakweli comments nilizozikuta huko ni za kutisha na ni aibu tupu kwa wafuasi wa cuf.click hapo uone viroja...