TGIF: gombea uraisi bongo

upele

JF-Expert Member
Mar 3, 2010
364
31
hi!
wanajamii namfagilia sana mm vipi asiwe raisi wetu bongo mawazo yake na mchango wake unafaa kubadiliya nchi yetu au mwaonaje.
ni mawazo na maono yangu
I have dream
CONQUEST
 
And take into account a cross section ya opposition wameshaanza kumbariki JMK kuwa mgombea pekee Tanzania.
 
CHANGES WE BELIEVE ina maana mkuu akijitosa hapo hamtamchagua tubadilike tumechoka kuburuzwa kila siku wao na family zao mambo safi wakati mitaa ya kati dagaa from kid to adult look that
Conquest
 
Kwako sumu kwa wengine ni dawa ya kuondoa mawazo mgando na kukuza
Patrotism kwa nchi yetu.
Ingependeza kaa ungetafakari post unayoijibu kabla ya kukurupuka. Unaelewa context ya neno sumu kaa ilivotumika ktk hiyo post?
 
Aje kwanza aanzie na ubunge jimboni kwangu halafu in the next five years tutam-promote. I have a dream too
 
hi!
wanajamii namfagilia sana mm vipi asiwe raisi wetu bongo mawazo yake na mchango wake unafaa kubadiliya nchi yetu au mwaonaje.
ni mawazo na maono yangu
I have dream
CONQUEST

Wabongo wana tabia ya kumkubali mtu anayewadharau.

Wanajamii wana tabia ya kumkubali mtu anayetetea wanyonge.

Wabongo wana tabia ya kumdharau mtu anayetetea wanyonge.

Mpaka hapo kura ya wanaJF inaweza kabisa kuwa YES, Kura ya wabongo bila shaka kabisa ni NO.

Kuna jipya???????????
 
Yes we will get there....Kizazi cha ufisadi na kitaondoka na kila mtanzania ataonja rasilimali ya nchi kwa mujibu wa sheria.
 
hi!
wanajamii namfagilia sana mm vipi asiwe raisi wetu bongo mawazo yake na mchango wake unafaa kubadiliya nchi yetu au mwaonaje.
ni mawazo na maono yangu
I have dream
CONQUEST
hehehe hiyo avatar yako inatosha kuelezea unayomuwazia mm.
 
hi!
wanajamii namfagilia sana mm vipi asiwe raisi wetu bongo mawazo yake na mchango wake unafaa kubadiliya nchi yetu au mwaonaje.
ni mawazo na maono yangu
I have dream
CONQUEST

mbona hamnitakii mema... tayari nishakuwa target ya kutosha tu.. kama waliutenda mti mbichi itakuwaje kwa mti mkavu.. on a serious note: Nikiwa Rais nitakosa wa mkosoa!!! .. but even more.. Urais wa Tanzania ulivyo sasa ni kikwazo kikubwa cha mabadiliko.!!! ila yeyote anayeutaka lazima tumpima kwanza kichwani..

so hii ndoto yako ibadikie burudani tu.. kwani miye nimeota juzi Tanzania nzima tumepanga mstari kumsalimia Mfalme JK 1.. so pendekezo langu tumfanye yeye awe wa maisha halafu hizi ndoto zote zitaisha..
 
mmk hapo nimekuelewa kuwa unaogopa kupimwa kichwani...why?
 
Hujasema agombe kupitia chama ganI kwa maana sheria za nchi hii zingali zinakataza mgombea binafsi !!!!!!!!!!!?????????????.
 
MM hajulikani, mimi mwenyewe simjui huyu jamaa ni nani? nasoma makala nyingi sana za kwake kwenye mwanahalisi na humu JF na je anaishi wapi? je ni mwandishi wa habari, mwanasiasa? mwanaharakati? au simple mzalendo wa nchi hii?, kazi yake ni ipi kwa sasa na
profession yake ni gani?

Je ni mwanachama wa chama chochote cha siasa kwa sasa? na atagombea kama binafsi au kupitia chama chake?
Je ushaongea na yeye au umehisi tu kwamba anatufaaa kutuongoza? umefanya utafiti kwamba alishawahi kuwa kiongozi wa chama cha siasa chochote? au jumuiya ya kijamii katika miaka ya nyuma?

Ili mtu awe kiongozi wa umma lazima tujue information zake zote - kuanzia alikozaliwa, shule aliyosoma hadi kazi anafanya kwa sasa.

Mtoa thread omba ridhaa kwa MM utupe data zake kama kweli unataka awe Mgombea Urais wa nchi yetu come october.
 
Ili mtu awe kiongozi wa umma lazima tujue information zake zote - kuanzia alikozaliwa, shule aliyosoma hadi kazi anafanya kwa sasa.

Today is Friday.. don't get caught up.. maana mnaweza kuwapa watu mchecheto wa bure tu

El Nino.. tayari wagombea wote mnao tayari na mnajua sifa zao zote nadhani wanatosha.. maana kwa vipimo vya alizaliwa wapi, alisoma wapi, alikuwa anakula chakula gani, familia yake ina magari mangapi na aliwahi kuwa kiongozi wa klabu gani.. nadhani wenye sifa hizo wapo wengi bongo. Wapo waliosoma kuanzia Harvard, Oxford.. kwa hiyo kwa qualifications za kuangalia bio nadhani wapo wengi tu wanatosha.

ila wakiruhusu mgombea binafsi wala usiwe na shaka nitamwaga info zangu hapa hapa mimi mwenyewe; haya ya kutungiwa biography na watu unaweza kuitwa mtoto wa shetani hivi hivi..
 
mbona hamnitakii mema... tayari nishakuwa target ya kutosha tu.. kama waliutenda mti mbichi itakuwaje kwa mti mkavu.. on a serious note: Nikiwa Rais nitakosa wa mkosoa!!! .. but even more.. Urais wa Tanzania ulivyo sasa ni kikwazo kikubwa cha mabadiliko.!!! ila yeyote anayeutaka lazima tumpima kwanza kichwani..

so hii ndoto yako ibadikie burudani tu.. kwani miye nimeota juzi Tanzania nzima tumepanga mstari kumsalimia Mfalme JK 1.. so pendekezo langu tumfanye yeye awe wa maisha halafu hizi ndoto zote zitaisha..
...hehehe well said.
But kwa kuwa hauutaki urais mie napendekeza unafaa kuwa rais. ila usiingize maswahiba wako pale luthuli namba 5.
 
Back
Top Bottom