Fasheni za kuvaa nguo za michezo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fasheni za kuvaa nguo za michezo.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sumbalawinyo, Mar 11, 2010.

 1. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  SIKU HIZI NI JAMBO LA KAWAIDA MTU KUVAA JEZI YA TIMU YA NJE AU YA HAPA NCHINI NA KISHA KWENDA MATEMBEZINI.
  KATIKA KUISHI KWANGU NIMEKUWA NIKIONA MARA ZOTE ZINAVALIWA JEZI ZA WACHEZAJI WA NDANI.
  LAKINI KITUKO HIKI, NLICHOKIONA LEO KWA SHIGONGO NAOMBA NIKIITE CHA MWAKA.
  JAMAA KAVAA JEZI YA KIPA MCHANA KWEUPEEEE...
  HEBU FIKIRIA NGUO ZA MAKIPA ZIMETENGENEZWA NA NYLON, PIA ZINA MASPONJI NA MASTIFU MENGI SANA.
  KWA HIYO ZINA JOTO KWELIKWELI...
  LAKINI NDUGU YANGU HUYU HAKULIONA HILO AKAAMUA AFE NA FASHENI.
  [​IMG]

  Joseph Shamba ‘Vengu’ (kushoto) akiwa na kiongozi wa African Stars ‘Twanga Pepeta’, Luiza Mbutu (katikati), na kulia ni mkurugenzi wa bendi hiyo, Asha Baraka.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  maisha inabidi yawe simple unatoka vile unavyojisikia :)
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  Ukimshangaa wambwela kama Shigongo sisi tutakushangaa wewe.
   
 4. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280

  Moderator hii thread inafaa ipelekwe kwenye lile jukwaa la mambo ya kipuuzi!
   
 5. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2010
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145

  Mkuu nadhani hukusoma vizuri ile habari kwa shigongo, Ukweli ni kuwa Vengu na kundi zima la orijino Komedi walikuwa anafanya shutingi pale ASET kwa kutumia vifaa vya Twanga. Na kwa vile kazi ya akina Vengu ni kuiigiza basi kama ambavyo huwa wanavaa nguo za kike wakati wanaigiza kwa shughuri ya siku ile hilo ndilo lilikuwa vazi la kazi. Hapo kuna mtu kaigizwa, angalia viatu hivyo havina soksi kimtindo. Hiyo nguo ilikuwa nguo ya kazi >
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huu kwam kweli ni upuuzi duuuuu! sijui nimefata nini huku
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,052
  Trophy Points: 280
  Vengu kwa kikwetu ni bhange
   
Loading...