Hukumu ya TRL ni leo.

Hukumu ya TRL ni leo.

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
915
Reaction score
54
Katika hili una maoni gani kwa Rais kikwete na balaza lake la mawaziri?

Hukumu ya TRL leo

na Betty Kangonga


RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajia kukutana na Baraza la Mawaziri kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali, huku mjadala mkubwa ukihusu mkataba wa uendeshaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL).

Rais Kikwete alisema kwa maelezo mafupi kuwa atakutana na Baraza la Mawaziri leo ili kupata muafaka wa mkataba wa TRL ambao unaonekana kutokuwa na tija kwa taifa.
 
Back
Top Bottom