Ajali Mbaya:Abiria,Madereva na Trafiki nani kati yao amesahau wajibu wake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali Mbaya:Abiria,Madereva na Trafiki nani kati yao amesahau wajibu wake?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mokoyo, Mar 12, 2010.

 1. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  Kuna ajali mbaya kila kuchapo hapa nchini mwetu. Je, nani kati ya abiria, madereva na matrafiki ambao hawatimizi majukumu yao ipasavyo katika kuzuia na kumaliza ajali hizi kabisa?
   
 2. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  Hoja ya abiria kushangilia madereva wanaokimbiza mabasi..........
   
 3. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  hoja ya madereva kuwahi ambako sio wao wanakokwenda.................
   
 4. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  hoja
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  hoja ya rushwa na trafiki......
   
 6. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  Wamiliki kutotengeneza mabasi
   
 7. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  Barabara mbovu
   
 8. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,009
  Trophy Points: 280
  Hii mada mtakuja kuichangia siku mkipata ajali? Turekebishane sasa na siyo baada ya kuathirika.......Shtuka chukua hatua
   
 9. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sasa ICU mbona umeamua kuchukua mambo mkononi? Wenzako tulikuwa hatujaamka. Ndio nini kujibu thread kwa post zako mwenyewe?

  Ungevuta subira.

  Au ni kwa vile watu wameshachangia mada inayofanana na hii kwenye ile thread ya Nguli ya "Basi la Shabiby lapata ajali"?
   
Loading...