wana cuf inaonekana bado ni wachanga kisiasa ushahidi huu hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wana cuf inaonekana bado ni wachanga kisiasa ushahidi huu hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by stringerbell, Mar 10, 2010.

 1. stringerbell

  stringerbell Member

  #1
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  tatizo ni kwamba wengi wao ni ilimu madrasa kiwango chao cha elimu
   
 3. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Una ushahidi gani kuwa hawa waliochangia ni CUF?, Je mtu akisema wewe uliyepost hii thread ni CCM utakataa?. Zanzibar occupied by both political parties not CUF alone

  There is no proof what so ever that the comments are solely from CUF members. Unless you provide an evidence for your argument, this is not great thinkers ways of viewing things, especially those found on website which is not a CUF official website. Please reframe your thread. Don't jump into conclusions easily
   
 4. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nimeangalia kilichoandikwa humo nakubaliana hofstede kwanza nani kakuambia wale ni wanachama wa CUF una ushahidi gani kama waliokuwapo pale ni wanaCUF.

  Pili je unasema wanaCUF hawajakomaa umetumia vigezo kuthibitisha kama hawajakomaa. Benchmark gani inayoweza kutanabaisha ukomavu wa kisiasa (kama kuna chama kilichokomaa Tanzania).

  Tatu sijaona comment za kutisha wala kutia aibu zaidi ya malumbano ambayo mie nayafananisha na kijiwe cha kunywa kahawa je tuambie wewe wapi umeona kuna malumbano ya kutisha au unataka sympathy from some members (maana humu nako kuna malumpen kama wewe).
   
 5. C

  Chuma JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2010
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nafikiri ulichoandika hakifanani na Signature yako ya watu wa kuacha Uongo...!!! Sijui lini utaacha Uongo...!!!

  Ukiingiza haya mambo huwa mada haina mwisho, na hatimae hufungwa.!!!
   
 6. stringerbell

  stringerbell Member

  #6
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  well the person who posted that article is MRFROASTY who is long time member of cuf and also the website is belong to cuf. read the comments clearly you can see that majority of them are cuf supporters ,
   
 7. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  pole kama umeumia, huo ndiyo mtazamo wangu, na kamwe sioni vingine
   
 8. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  We kijana usiwe kama mung'unye unaharibika ukubwani, sijuwi hili bandiko lako linamaana gani na unakusudia hapa JF wakufahamu vipi, hebu tazama mfano mdogo tu,utakusadia kuondoa utikiti maji kwenye kichwa chako, hapa JF kuna majukwaa mpaka ya matusi, watu wanaandika upuuzi mtupu, Mungu anatukanwa humu kama yupo feri vile au sokoni kariakoo, kiongozi wa nchi ndo kawa jaa kabisa, mpaka picha za uchi zishabandikwa humu (but we dare to talk openly, mods msinune), kwa hiyo kijana umeyaona ya Mzalendo net peke yake ambayo hajatukwana mtu,watu wametumia uhuru wao wa kuzungumza bila ya kumbugudhi mtu wala kumtukana mtu kwako ww ni tatizo,hebu tumia mda wako kuondoa boriti hapa JF kabla ya kutafuta vibanzi kwenye forum za watu usizojuwa ustaarabu wake wala tabia za wahusika, halafu kama wana CUF unavyojidanganya kuwa wachanga kisiasa(japo ushahidi wenyewe hujauonyesha) hebu nambie chama gani kina wafuasi waliopevukia kisiasa?
  Nambie CCM na ahadi za maisha bora kwa kila mtanzania, na kukuza uchumi wa nchi kwa tarakimu za makaratasini na mpka leo wafuasi wao wanaamini kuwa maisha bora yataletwa na serikali ya JK, huku miaka mitano imeshakatika na iliyobaki ni ahadi ya kurudi masiha tu sijuwi lini, je maisha bora mliyoahidiwa na kikwete yatakuja lini? hamjioni kuwa ni wanchanga bado si kisiasa tu hata kifikra?
  Nambie CHAMA CHOCHOTE cha siasa chenye wafuasi waliopevuka kisiasa,wenye mawazo kama yako yaliyopevuka kwa ahadi za uwongo wa ziwa la kuku?
  We baki na bendera tu wenzako wanakula nchi.
   
 9. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Cha ajabu nini ambacho wewe umekiona ni tofauti na yanayotokea ndani ya foeum yetu? Umeshawahi kutembelea threads za kidini ndani ya Forum hii yetu mbona hujasingle out dhehebu fulani au dini fulani kwa utumbo tunaouchangia?
  Pengine nina hofu kuwa una jiwe na hico Chama (CUF). Inakuwaje unajumuisha maoni ya mtu fulani na jumla ya kundi fulani? Wewe ni CCM au ni wachama chengine? Kama ni wa CCM basi ungefuatilia mijadala inayotolewa na Wabunge wa CUF kule Bungeni kiasi cha kuifanya CCM ichanganyikiwe na kama wewe ni wa Chama chochote cha upinzani basi inafaa ujiulize kuwa kwanini kiongozi wa upinzani kule Bungeni ni wa CUF?
  Ninachomaanisha hapa kuwa utumbo wa mtu fulani hauwezi kujumuuisha wengine wote wa Chama chake. Hivyo unafikiri kuna upande uliokamilika eti kwa kuhisabu mtu mmoja mmoja.
   
Loading...