Wachelewa kuchukua zawadi zao za bahati nasibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachelewa kuchukua zawadi zao za bahati nasibu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Somi, Mar 21, 2010.

 1. S

  Somi JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  WASHINDI WA BAHATI NASIBU KUTOKA IRELAND NA UK WAMECHELEWA KUCHUKUA ZAWADI ZAO ZA BAHATI NASIBU ZENYE DHAMANI YA MAMILIONI YA PESA WALIZOSHINDA, NA HIVYO KUFANYA VITITA VYA MAPESA WALIYOSHINDA KUENDELEA KUWASUBIRI, NA INASEMEKANA WASHINDI WENGI WA VIPINDI TOFAUTI SIKU ZA NYUMA WALIZIACHA KABISA ZAWADI ZAO BILA KUZICHUKUA NA MAPESA HAYO KUPELEKWA KWENYE MIFUKO MBALI MBALI YA KUSAIDIA JAMII.

  KWELI HAYA YANAYOFANYWA NA WAZUNGU YANAWEZA KUFANYIKA HAPA AFRIKA?

  LINKI HIYO:
  http://www.thisislondon.co.uk/news/article-2596688-lottery-winner-has-hours-to-claim-1m.do
  http://www.lotterypost.com/news/117554
   
Loading...