Watu millioni 200 waishi katika mabanda

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
Habari nimezipokea sasa hivi kwenye Mobile yangu kutoka kwa (Voa) voice of America Zinasema UN imesema kuwa Watu Millioni 200 Wanaishi katika Mitaa ya Mabanda katika Bara la Afrika idadi kubwa kuliko yote dunia.

Hii kitu imenihuzunisha kiasi najiuliza moyoni mwangu ni kwanini sisi watu weusi tunaishi katik mazingira ya kimasikini sana kuliko binadamu yoyote duniani? nikaona Bora na nyinyi ndugu zangu niwape hii habari niliyopata sasa kutoka huko Sauti ya (Voa) nawaombeni tulijadili hili suala la mazingira ya kimasikini hapa kwetu Tanzania Viongozi wa Chama na Serikali wanalichukuliaje hilo Suala asanteni ndugu zangu.
 
Definition yao ya mabanda ikoje? Maana usije kukandia kumbe ukakuta nyumba zote za simenti ya "lipu" zenye choo cha nje zinahesabiwa kama mabanda.

Ndipo hapo utakapoambiwa 1/3 ya population ya Dar inaishi katika mabanda, hujaenda Samvulachole bado hapo.
 
Back
Top Bottom