Na mimi lini nitakuwa mkurugenzi....

kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
183
Mkurugenzi wa masoko wa TBL David Minja (shoto) akipiga stori na Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Ephrahim Mafuru.

Ndugu wanajamii, kila nikiwaona hawa jamaa napata shauku kwamba siku moja nami niwe mkurugenzi anagalau wa ufundi(kwa fani yangu) wa moja ya makampuni makubwa kama haya hapa nchini..lakini mbona siku hiyo haifiki tu.Shahada ya chuo ninayo, uzoefu wa kufanya kazi viwandani ninao(miaka 10) au ndiyo kukosa bahati, elimu bora au god father sijui. Nifanyeje jamani au nigombee ubunge tu mwaka huu.Au ndiyo nisubiri subiri mpaka nizeeke kwanza..
 
If you want respect....demand it! If you want to shine....don't cover yourself up. Work hard and eventually you will be noticed. If you want something bad enough eventually you'll get it. Kama una ngoja kupewa I'm sorry utangojea sana.
 
uwe mkurugenzi ili iweje??????????
hivi ukiwa mtu wa kawaida but mtu mwema
na usefull kwa jamii haitoshi??????????
 
Mkurugenzi wa masoko wa TBL David Minja (shoto) akipiga stori na Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Ephrahim Mafuru.

Ndugu wanajamii, kila nikiwaona hawa jamaa napata shauku kwamba siku moja nami niwe mkurugenzi anagalau wa ufundi(kwa fani yangu) wa moja ya makampuni makubwa kama haya hapa nchini..lakini mbona siku hiyo haifiki tu.Shahada ya chuo ninayo, uzoefu wa kufanya kazi viwandani ninao(miaka 10) au ndiyo kukosa bahati, elimu bora au god father sijui. Nifanyeje jamani au nigombee ubunge tu mwaka huu.Au ndiyo nisubiri subiri mpaka nizeeke kwanza..

Hawa unaowaona hapo sio malaika, ni wanadamu na tena ni Watanzania kama wewe. Ni jinsi tu unavyozicheza karata zako na uwe na uthubutu. Usikute hiyo miaka 10 yote bado uko kwenye kampuni moja, unaogopa kuhama kwa kuhofia the so called ''job security'' halafu unasubiri wakupandishe cheo.

Once you want something go for it. Hakuna kisichowekezana, weka nia na malengo.

''If there is anyone out there who still doubts that America is a place where all things are possible; who still wonders if the dream of our founders is alive in our time; who still questions the power of our democracy, tonight is your answer. '' - Barack Obama's victory speech on 4th Nov 2008
 
Ndio matatizo ya ubepari haya.. the system which fools you that there is infinite opportunities to pursue. Unlimited wealth, power and status to achieve.

Kila mtu anataka kuwa bosi na kuwa na 'wasaidizi', awe anaishi kwenye nyumba yenye pool pembeni mwa ufukwe wa bahari. Aishi lifestyle kaa ile anayoiona kwenye tamthiliya za mangaribi. etc etc..

For most of us this will not happen people. Just swallow that!
 
...na huyo wa kati ni mkurugenzi wa kukutanisha wakurugenzi, ama?
Acha uhuni...
icon10.gif
 
Acheni kuhate.

Hawa ni vijana, tena wanastahili pongezi kwa kufika walipofika katika umri mdogo walio nao.

Kama unataka kuwa mkurugenzi FANYA KAZI KWA BIDII. Pia si vibaya ukitafuta mtaji ukaanzisha kampuni yako mwenyewe ukawa mkurugenzi wa kampuni yako
 
ngoja nikupe wazo moja dogo tu!
Kama huko kwenye makampuni / mashirika ya serikali basi jitahidi uwe CCM - mtandao. Siku hizi vyeo vyote ni vya kuteuliwa. Work hard and nobody will see you!! Go to CCM - mtandao then every leader and society will see you and recommend you for a post.
Kama huko kwenye mashirika / sekta binafsi then fanya kazi kwa bidii, soma uwe na elimu ya juu zaidi kiasi cha kuwafanya wenzako wakuone kuwa unastahili maana unabidii na unaelimu ya kutosha.
Vinginevyo.... subiri na hautapata!
 
Ingia CCM then obvious utakuwa fisadi, baada ya hapo subiri ukurugenzi unaoutaka!
 
kama wewe ni mtaalam wa ufundi na umefanya kazi zaidi ya miaka kumi sasa unasubiri nini kuanzisha kampuni yako na uwe mkurungezi kama kweli shida yako ni ukurugenzi?

ukurungezi si lazima uajiriwe katika makampuni ya watu - tatizo sisi watanzania kila siku tunafikiria vyeo vyeo tu - haya ndiyo mawazo mgando - kufiria kupanda cheo ni mawazo ya ujamaa ambao ulishakufa na kuzikwa.

Utaendelea kukonda kama utaendelea kufikiria ukurungezi - kama minja na mafuru ni wakurungezi nothing to do with you. sioni kitu cha kukufanya ufikiri regarding those positions!
 
HAPA UMEMALIZA KILA KITU...
unaweza kuanzisha chako ukajiita utakacho - president, CEO, MD, PDG, u name it..
ukisubiri ukurugenzi wa kuteuliwa au wa kugombea kifo kinaweza kukukuta na hujawa! Kumbuka hizo nafasi ni chache na wenye sifa ni kwa mamilioni.Kazi kwako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom