Jemba ILIYOMBAKA MISS TANZANIA YAPANDISHWA KIZIMBANI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jemba ILIYOMBAKA MISS TANZANIA YAPANDISHWA KIZIMBANI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Mar 23, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,426
  Likes Received: 22,337
  Trophy Points: 280
  Jamaa anayetuhumiwa kumbaka Miss Tanzania, ambaye ni mwanamitindo Patrick Trey, hatimaye amepandishwa mahakamani mchana huu na kusomewa mashitaka yake ya ubakaji katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu. Akiingia mahakamani hapo mapema leo, Trey alivaa kitambaa mdomoni na puani ili kuficha sura yake. Awali alionekana akipewa kibarua cha kumwagia maji ili kusafisha choo cha mahabusu mahakamani hapo. kesi imeahirishwa na mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana...mkanda ufuatao, unaonesha picha ilivyokuwa:

  [​IMG]
  ..Michael Jackson style

  [​IMG]
  ...kichwa chini

  [​IMG]
  ..mawazo kibao

  [​IMG]
  ...chini ya ulinzi

  [​IMG]
  ...akifanya usafi wa choo
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Kwa style yake hii lazima ni mbakaji aliyebobea
   
 3. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Dah! Kweli wewe paparazi.
   
 4. Jeni

  Jeni Senior Member

  #4
  Mar 23, 2010
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yaani BujiBuji ckuwezi asanta kwa picha
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,426
  Likes Received: 22,337
  Trophy Points: 280
  ukimuona anapita mitaa jirani na kwenu piga nduru kali...
  Vinginevyo, unamegwa kigangwe
   
 6. MawazoMatatu

  MawazoMatatu JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2010
  Joined: Sep 6, 2008
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kambaka Miss Tanzania wa mwaka gani? katika mazingira gani? habari kamili...?
   
 7. M

  Magezi JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  mmh....Mwenzangu nakwambia mpaka anatisha
   
 8. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Huyo kijana ni rijali na aliamua kuonyesha urijali wake.
  Wanamitindo na mamiss wanafanana, naona binti alidhani kuwa njemba ni binti mwenzake na kwa hasira ndipo njemba ikampa kiperega
   
 9. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Aliyebakwa ni Miss gani huyo na ni lini na ilikuwaje? Unaweza kukuta walikubaliana lakini baadaye wakazinguana na mtu kutpiwa kesi si unajua mabo ya mahakama hata asiye na kosa anaweza kwenda jela
   
Loading...