Kitchen party ya wiki hii!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitchen party ya wiki hii!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by major mkandala, Mar 23, 2010.

 1. m

  major mkandala Member

  #1
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna wanawake wengine bwana wameolewa lakini mambo yao tofauti utasema wenzangu na mie tunaotafuta kupiga mizinga;utakuta mwanamke kaolewa ana mume mlokole ama ametulia lakini kutwaa akirudi kazini kavua nguo kakimbilia kwe nye bar kupiga umbea na wanwake wengine tena sio wanandoa..acha nasema acha ukimuuliza anasema mmewangu mzungu ana noma na mimi we mke wa mtu unakata bia mwenyewe na mashangingi wa mjini kwa nini usiende na mumeo kakusikia mnavyochojoa wanaume za watu.....

  Mwanamke huyuhuyu akikaa kwa muda kalewa anaanza kutingisha watu wanapita na kuanza kumshika makanyagio yake anaanza kupiga kelele unapiga kelele nini,ungekuwa na mumeo angekuachia ushikwe kama hivyo
  nasema acha nenda na mumeo hao wanawake wasioolewa watakujaza ujinga

  kukiolewa muheshimu mumeo uhuru wake kwako isiwe tatizo la nyumbani kwenu

  Wanandoa wa jumamosi hii nawatakia Harusi njema na mtimize yale mungu aliyoandika na si kuanza kukorofichana

  Harusi njema
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Heri yetu sie bado tupo kwenye kwarezma!
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kwani kwaresma imeisha?
   
 4. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #4
  Mar 23, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Rafiki, kwaresma tunayo wakatoliki, sijui kama madhehebu mengine wanayo pia. Kwaresma njema.
   
 5. m

  major mkandala Member

  #5
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sie tuna ""Beckham ""mama ndoa kama kawa kanisani kwetu!!!
   
Loading...