Dr. Manyuki Atinga Rasmi Mtandaoni, Matibabu ni kwa USD. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Manyuki Atinga Rasmi Mtandaoni, Matibabu ni kwa USD.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Mar 23, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  DR. MANYUKI KATINGA RASMI MTANDAONI NA ANAPATIKANA KWENYE WEBSITE HII:- http://www.drmanyuki.com/services1.html
  NIMEIPATA WEBSITE YAKE LEO ASUBUHI MITAA YA MOROCCO NIKAONA BANGO KUBWA SANA LIMEANDIKWA ANWANI YA MTANDAO WAKE.
  NIKAONA SIO MBAYA KUUTEMBELEA.
  KWA KWELI MTANZANIA WA KAWAIDA HAWEZI KUMUDU GHARAMA ZA HUYU KIGAGULA AMBAYE ANATIBU KWA DOLA.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kudadadeki..lol

  Kazi hipo!
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  anatibu nini??
   
 4. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kaaazi kweli kweli
   
 5. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hizo zenye red sidhani kama zinahitaji mganga kweli..,wajinga ndio waliwao.
   
 6. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  He...
  Mbona kazi!!!
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Bongo tambarale kila kitu kinawezekana.
  Gharama zake zipo juu kweli kweli analipia na VAT nn tiba zake?
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Widhi widhi.... Widhi mtupu


   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135


  Huu withi mthupu kama ni hivyo akafute madeni ya watu wanayokopesha BANK
   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hahaha .......yaani serikali yetu ina raha .....mtu anapewa leseni ya kutibu "kurudishwa kazini" :D ....
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Dawa ya kuongeza nguvu ya kiume,
  Dawa ya kuongeza nguvu ya kiume nambari moja barani Africa, ina vitamini na virutubisho. Dawa hii haina madhara yeyote, watu wengi wametumia imeonyesha mafanikio makubwa, kwa kazi tatu:-
  1. Kukakamaa kwa uume wakati wa tendo la ndoa.
  1. Uzalishaji wa mbegu za kiume yaani kuwa na manii mengi.
  1. Kuchelewa kukojoa manii.
  Dozi
  Dawa yenyewe iko katika hali ya maji iliyochanganywa na asali mbichi na dawa inaitwa HARAI.


  " siku hizi kina baba mna matatizo sana? mbona madawa yenu yanaongezeka kwa kasi ya ajabu
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280

  si unajua mambo ya nyumba ndogo...
  Lazima ukatoe dozi ya kufa mtu ili kujenga heshima na jina.
   
 13. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  utapeli tu huo
   
 14. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2010
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sio wajinga, wase.nge ndio waliwao, serikali inaruhusu watu kama hawa, duh - hii ni hatari!
   
Loading...