msaada nataka kuingiza gari toka south africa boda ya tunduma

Gamaha

JF-Expert Member
Jul 17, 2008
3,815
4,860
Wakuu heshima kwenu.

Naombeni msaada nimepata vishiringi kidogo nataka ninunue kigari changu toka south africa lkn cha japan, tayari nina jamaa huko ambaye kanipa details zote za kuweza kufikisha gari mpaka huku. lkn sijui kabisa kuhusu mambo ya tax na uingizaji wa gari hasa kwa kupitia boda kama tunduma gari ni ndogo cc 2000 , tafadhali mwenye kufaham chochote kitakachoweza kunisaidia ili nipate mchuma salama na mimi niepukane na purukushani za daladala.

Wenu mtiifu
 
hapana mkuu nilikuja kubadili mawazo nikaingiza kupitia japan moja kwa moja
 
Kwani taratibu za kuingiza magari pale mpakani Tunduma zikoje? Niliwahi kuambiwa kwamba kwenye mipaka ya nchi kavu hakuna usumbufu kama kwenye bandari zetu. Je, hii ni kweli?

Tafadhalini nielewesheni.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom