Mlinzi akutwa amenyongwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlinzi akutwa amenyongwa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiranja Mkuu, Oct 4, 2010.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  *Ofisi ya Mwanasheria wa PPF na Mkurugenzi zavunjwa
  *Nyaraka za siri zadaiwa kuibwa

  [​IMG]
  Baadhi ya wafanyakazi wa jengo la PPF lililopo barabara ya Morogoro na Samora wakiwa nje ya jengo hilo leo asubuhi baada ya mmoja wa walinzi wa jengo hilo kunyongwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.
   
 2. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hii ni hatari, hebu mwenye taarifa zaidi atujuze yaliyojiri huko. Kuna nini cha siri hivyo kiasi kwamba yote haya yalifanyika? Na jengo kubwa kiasi hiki linakuwa na mlinzi mmoja tu usiku? Naamini pia hapo jirani kuwa walinzi, je hakukuwa na dalili zozote za mienendo isiyokuwa ya kawaida?
   
 3. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inasikitisha sana, sijui tunaelekea wapi jamani!!
   
Loading...