Tunasikitika kutangaza kifo cha Matiku Thomas Nyitambi

Tunasikitika kutangaza kifo cha Matiku Thomas Nyitambi

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Tunasikitika kutangaza kifo cha Mchungaji Matiku Thomas Nyitambi kilichotokea leo huko Tarime musoma kwa ajali ya gari .Marehemu alikuwa anasafiri na Mkewe ambaye amepata majerahaa

'' Mungu hamlaze pema peponi Amin''
 
Mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi
Na awatie nguvu na ujasili family nzima ya marehemu
Amen
 
Mungu awatie nguvu na faraja wafiwa.
Marehemu apumzike kwa amani. Amin
 
ni nani huyo ukiondoa uchungaji wake??
 
nafikiri pengine ni kutoka kanisa la mennonite tanzania
 
i hardly know him . but RIP!
 
mwanadanu aliyezaliwa na mwanamke sikuzake za kuishi si nyingi!
 
Back
Top Bottom