Kesi ya Mahimbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Mahimbo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jjeremiah, Oct 2, 2010.

 1. j

  jjeremiah Member

  #1
  Oct 2, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Swali langu kwa wana jf wajuvi wa sheria ni kwamba sheria ya ndoa inatambua wahusika wawili tu, na kama endapo mmoja atakiuka mfano kwenda nje ya ndoa au kumkataa mwenzie bila sababu za kimsingi basi upande ambao hautaridhika na maamuzi ya mwenzie anaweza kufungua kesi ya madai ama kupinga maamuzi ya kutengana huko bila kutofautisha ni mume ana mke mwenye haki hiyo, Sasa swali langu kuhusu swala la Mahimbo kufungua kesi dhidi ya Slaa ya Tzs bilioni moja kama fidia ya kunyang'anya mke naona kama sio sahihi maana kwa maelezo hayo Mahimbo alitakiwa kumfungulia Josephine kesi kama hiyo na sio Slaa kama ilivyo sasa maana yeye alifunga ndo na Josephine na ndiye aliye kiuka mkataba, ama mfano kama Mahimbo ndiye ange kiuka na kwenda kuishi na mke mwingine je Josephine nae angeweza kuwa na haki ya kumfungulia kesi mwanamke ange kuwa na mahusiano na Mahimbo na sio Mahimbo kama yeye Mahimbo alivyofanya kwa Slaa
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Unenayo ni kweli. Jesphine ndiyo haswa alipasa kuwa mdaiwa wa mahimbo. lakini nadhani wewe na mimi na kila mtu mwingine mwenye uelewa (isipokuwa wale mashabiki wa JK) anajua fika kwamba kesi hii ni mradi wa akina Makamba/Kinana dhidi ya Slaa.

  Unajua, unapukuwa na chuki na mtu, huwi muangalifu katika kumchagulia tusi. majai wanatkiwa waitupilie mbali hiyo kesi siku ya mwanzo tu -- lakini si unajua tena majaji wetu walivyo? Miezi kadha iliyopita yule jaji mkubwa wao kabisa alikana mamlaka yake (kama mhimili mmoja wa dola) na kutamka kwamba Bunge ndiyo wenye mamlaka zaidi. That is of course shit. In this country evrything is upside down -- it's really f**** up!!! Oh yes it is!!!!
   
 3. Alnadaby

  Alnadaby JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2010
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 507
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Suala hili liacheni liko mahakamani.:hand:
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Oct 2, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Watoe uamuzi tu kwamba suala hili ni la "kifamilia zaidi" kama walivyodai kuwa suala la mgombea binafsi ni la "kisiasa zaidi!"
   
 5. M

  Msharika JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  swala hapa huyo bwana , alikuwa akai na mkewe iweje leo akurupuke ni mkewe? alikuwa wapi, je uroda mara ya mwisho alipewa lini?
   
 6. E

  Estmeed Reader Senior Member

  #6
  Oct 2, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesi Tamu Sana!

  Albeit, the case before Makahama, dolour to Dr Slaa; you have a doctorate law degree, and understand Latin well:

  Ignorantia juris non excusat (ignorantia legis neminem excusat)!

  Shall the law establish, prima facie, the existence of wilful blindness on your part when taking in Josephine and children?

  The burden of proof is initially on the plaintiff (Mr. Mahimbo)!

  But due to technical situations, the burden may shift to you (Dr Sla) to refute or rebut submitted evidence.

  Shall there be any reasonable probability that you (Dr Slaa) were negligent in causing Mr. Mahimbo's alleged injury?

  You took in Josephine (as "kimada") to be your fiancée.

  You took in Josephine's children.
   
 7. Kagemro

  Kagemro JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45

  That is what you think and not what the Law is.
   
 8. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  1. Explain why should the burden of proof shift from the claimant to the respondent.
  2. On 'Ignorantia juris non excusat (ignorantia legis neminem excusat)' Dr Slaa did not say he was ignorant of the law. According to the media report (which you relied on the above formulation) it was a mistake of fact (he didn't know his fiancee was married to the claimant or he mistakenly believed he wasn't married).
  3. So, it is up to the claimant to prove Josephine (Dr Slaa's fiancee) is his legal wife.
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ngoja uchaguzi uishe tuu,mtu atahama nchi
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Oct 3, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Angeshtakiwa Josephine kwa kukimbia ndoa yake na kufanya uzinzi (kama alifanya anyway)! Anyway, sijawahi kuona kosa linaloitwa "kupora mke" kisheria, labda ni kosa jipya! Pia Dkt Slaa alikuwa hajamwoa Josephine, ni mchumba tu! Uchumba si ndoa, kwa hiyo hakuna mke "aliyeporwa," huyo Josephine kisheria bado ni mke wa mumewe Mahimbo kwa sababu ni Mahakama pekee ndiyo yenye uwezo wa kuvunja ndoa, si vinginevyo!
   
 11. ismase

  ismase Senior Member

  #11
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  watch out the red color! tupe ushahidi.
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Oct 3, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Timing ya kesi, pia Makamba alidai kuwa Dkt Slaa anasumbuliwa na ndoa yake kabla ya hata kesi kufunguliwa!
   
 13. O

  Obama08 Senior Member

  #13
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Once you mention makamba i feel ill, dizzy, nausea, foolishness, etc makamba alifukuzwa ualimu why..? Alibaka, rape, makamba ana Wake 3, vimada usiseme, kati yake na Slaa who is Firauni.? don't mention this guy. sijui JK alimweka vp CCM in high position, ndio maana wanaanguka, mwisho 31 Oct, Pipoooozzzzzzz Powerrrrrrrr
   
 14. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Unayosema ni kweli kama kulikuwa na ndoa halali. Lakini sasa issue hii inajadiliwa bila kujua ni kitu gani kimefanyika: kulikuwa na ndoa halali au hapana?
   
 15. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  bandugu, ili tujue ukweli na tutende haki ni vema tukasikia kutoka kwa mke wa zamani wa mahimbo, atueleze kitu kilichomtoa kwa mahimbo kikampeleka kwa slaa. Isije ikawa walishakubaliana kutengana: if so,mahimbo hawezi kumshitaki asilani.
   
Loading...