RIP Brother....

RIP Brother....

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,265
Reaction score
17,135
Leo nimemkumbuka sana Braza Ukiwaona Ditopile Mwinshehe wa Mzuzuri....laiti angekuwepo wakati huu wa kampeni...tungepata burdani sana....sio hizi kamba na vinana

cad4320a6e540ea6
 
Oooh!! Baba wa kiongozi wangu (Mariam Dito) serekali ya wanafunzi Hapa CBE-DOM.
 
huyu aliyowahi kuhojiwa na waandishi wa habari kuhusu skendo ya kutembea na mke wa mtu akawajibu kuwa pilipili ya shamba yawawashia nini..mwenye mke katulia wao wanawashwa na nini...
 
Japo naye ana-chakukumbukwa ameacha jina lake kwenye kituo cha daladala pale njia panda ya Kawe... Japo wanajeshi wamepiga marufuku kutumika... Nadhani mpaka patokee ajali mbaya pale darajani watakirudisha...
 
Kama Shimbo naye ni mjeshi....Captain mpaka umauti umemkuta

SnS hapana bana

Shimbo ni "mjeshi kwelikweli" ambaye siku za hivi karibuni anasumbuliwa na ufisadi

Dito (RIP) alikuwa "mjeshi wa siasa" the likes of ma-Kamba, ki-Kwete, m-Kuchika, ki-Nana and wote hawa ni sawa tu!
 
Back
Top Bottom