Wanamaombi muombeeni mgombea ubunge wa S'wanga mjini(CCM) Standard seven | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanamaombi muombeeni mgombea ubunge wa S'wanga mjini(CCM) Standard seven

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by It is Sur_Plus, Oct 5, 2010.

 1. It is Sur_Plus

  It is Sur_Plus Senior Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanamaombi muombeeni mgombea ubunge wa S'wanga mjini(CCM). Ndugu Aeshi Khalfan Huyu jamaa amekua akimwaga fedha kwa wananchi ili wamchague katika uchaguz wa oct31.
  Anatumia fedha kuficha level yake ya elimu "standard seven" maovu yake aliyokua akiyafanya mf. Kutembea na kuwapa mimba watoto wa shule, kuingiza sukari nchi kutoka Zambia kinyume cha sheria ,Mkwepaji wa kulipa kodi katika biashara zake,
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Sasa alipitaje kwenye kura za maoni mtu wa hivi!
  Sasa unataka aombewe ili iweje....apate hiyo nafasi pamoja na corruption au?
  Waambie wananchi wa huko wamhukumu 31/10..Period!
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  una ushahidi wa tuhuma hizi?. Leta tuwape vijana wa kazi. Tumuombee ili apone Ly dizizi?!. Boresha taito tafadhari ili usimchefue xpastor+dick maana hawa huanza kukemea kabla ya kusoma thread.
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Sur_Plus, Chadema na CUF wamesimamisha wagombea ubunge wanaokubalika?
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kumbuka kura za maoni alipita kwa kishindo
   
Loading...