Jamani wakazi wa mkalama-yamnono- wilaya ya hai watakufa wote mwakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani wakazi wa mkalama-yamnono- wilaya ya hai watakufa wote mwakani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FICKNARD, Sep 28, 2010.

 1. FICKNARD

  FICKNARD Member

  #1
  Sep 28, 2010
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani tuwe makini hii rushwa tunayo ipewa huku mijini tuurumie na wakazi wa mkalama moshi- hai ambao wanateswa na muwekezaji ambaye alidiriki kuwafungia daraja lao la kuvuka ambao ndiyo wanalitegemea hilohilo kuziendea huduma muhimu. Muwekezaji huyo bw. Brutland peter ambaye hudiriki hadi kuwasaksia mbwa wananchi wajaribiapo kupita katika daraja hilo ambalo ni lao kabisa toka enzi za mababu lakini alipo kuja mkuu wa wilaya na wa mkoa alikuja kukaa naye na wakaongea. Toka siku ile wakanyang'anywa haki yao ya msingi

  madhara yaliyojitokeza

  watu wawili wameng'atwa na mamba katika mto karanga kisa kuvuka mto huo. Ebu awezae kufanya utafiti juu ya hili afanye
   
 2. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,559
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160

  Kwenye hiyo nyekundu hizi ni porojo tu

  hujaweka chanzo

  pia unasema hii ni Breaking News,then unaomba watu wafanye utafiti,Which is Which?
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  We jamaa chizi nini? Unauliza source??/source ni jamii forums kama unataka deteils zaidi nenda hai. Ila tunaomba wahusika wafuatilie hilitukio ili kama ni kweli wenzetu wasiendelee kuteswa na hawa nambari wani
   
 4. FICKNARD

  FICKNARD Member

  #4
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hey! this is not crazy things like that you have said that" We jamaa chizi" no! kama hutaki kwenda moshi it is up 2 you guy ila habari ndiyo hiyo mzeiya. Na pia niwapo katika JF kama wachakarikaji yapasa tuchangie na tupeane mawazo yenye akili siyo kuitana machizi kwani umesikia waanzilishi wa JF ni machizi kuweka Blog hii?

  Mimi FICKNARD nazidi kutoa taarifa mpya zaidi ambazo kama kuna apendaye kunipa akili anisaidie kunipa akili. ni kipi nitakifanya kusaidia wanakijii wangu Mkalama moshi.

  kuhusu nitapiga kura kwa slaa au vipi, hilo ni jukumu la mtu binafsi ila siwezi kumuingiza presdaa aliyeninyanyasa kipidi cha nyuma ila
   
 5. FICKNARD

  FICKNARD Member

  #5
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SOURCE NI JAMII FORUM? WEJAMAA CHIZII NINI? that is what you have just write guy THIS IS MY VIEW, NIPE AKILI YA KUFANYA SIYO HIVYO NINA AKILI TIMAMU MKUBWA?
   
 6. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,082
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hoya we Ficknard naona bado mgeni kidogo,hapo Nyani abiziani kamjibu jamaa anaeuliza chanzo na siyo wewe bana...Comment ya Rutunga M ndo imejibiwa tena jamaa kakupa support lakini we umechanganya mambo soma vizuri...
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  kula tano mjomba. Jamaa sijui kalivamia jukwaa. Ila hilo neno chizi nimelitumia kama kivumishi na sijalitumia kama tusi so chalii angu asimind kivile.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  elezea basi vizuri watu wakuelewe tukupe msaada ,inaonekana wewe humu n mgeni so dont worry kila kitu humu kinasovika kama tutakavyomtoa JK tr 31oct.
   
Loading...