DAILY NEWS warudia tena...Wataacha Lini Upuuzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DAILY NEWS warudia tena...Wataacha Lini Upuuzi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Safari_ni_Safari, Oct 5, 2010.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Toleo la leo ukurasa wa nne (Editorial/Analysis) wamekomalia tena suala ya mke wa Dr.Slaa kupitia Correspondent Msemakweli Sadiki(nadhani hii ni alias)....papa nae katuhumiwa pia....nachoka na hili gazeti
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Waache wafanye walichoajiriwa kukifanya.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Waandike sana..lakini nani atalisoma?...Linaletwa ofisini kama MAPOKEO, and none has anymore interest on it!
   
 4. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Imeandikwa " wana wa Yuda hulia madhabahuni" waache hiyo ndio madhabahu yao ya kula! lakini wakumbuke pia kuwa imeandikwa " ole wao waugeuzao usiku kuwa mchana" Tafsiri yangu " Ole wao waugeuzao uongo kuwa ukweli"
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hizi zote ni kumbukumbu, huko mbeleni hao waandishi watakuja kuziruka hizo articles...
   
 6. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Daily news ni gazeti lako la kila siku la kufungia maandazi na vitumbua.
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Ni gazeti la umma na ni kodi zetu zinatumika....hawawezi kuwekewa court injuction hawa?
   
 8. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwani mzinzi ana mke au kimada!Hao DN wamekosea kusea mke wa Slaa,Slaa ana kumada kwani mzinzi + mzinzi ndio ......wote wazinifu na wanaofagilia uzinifu watamtambua bwana Yesu!
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Sasambona Cardinal Joseph Reitzinger(Papa) katoa kibali cha ndoa kwa mujibu wa Msemakweli Sadiki na DN?
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Inawezekana sana kuwawekewaa court injuction lakini kwa majaji wa bongo watakwambia ni ishu ya kisiasa zaidi peleka bungeni
   
 11. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Unaweza kutuwekea link au scanned copy tafadhali
   
 12. W

  WildCard JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Dr Slaa kama tulivyo wengi arekebishe maisha yake na akina mama. Umri wake umekwenda, hadhi yake katika jamii ni kubwa sana, yeye anaelekea kuwa mwanasiasa mashuhuri sana Nchi hii wa aina ya Mwalimu, SAS.
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Nimeshindwa kaka labda unielekeze
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  DN ni Makuhadi wa CCM hao wanatetea vibarua vyao
   
 15. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Huyu ni nani vile?
  dailynews.jpg
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 17. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,066
  Trophy Points: 280
  Ukiona biashara hailipi una change wamebaki wao (Daily News) na dada yao Habari Leo kurudia rudia habari iliyochakaa, hadhi ya magazeti hayo kwa kiasi kikubwa imepunguzwa na uandishi wa tukio hili. Mimi si mwandishi wa habari lakini najua habari inakuwa habari kama inatolewa kwa mara ya kwanza lakini ikirudiwa inakuwa story ambazo huandikwa na magazeti ya Shigongo.
   
 18. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Toleo la leo 5/10/2010 kwenye 'Editorial/ Analysis' linaongelea suala la Upadre na mahusiano yake na Josephine suala ambalo liko mahakamani. Makala hiyo imeandikwa na 'correspondent' wao Msemakweli Sadiki.

  Naomba Daily News muandike na za wagombea wengine kuhusu 'private matters zao. Kwanza hii si story tena imekwisha chuja!
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,791
  Trophy Points: 280
  nani huyu mjomba?
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Mkumbwa Ally...kibosile wa TSN na sekeree mzoefu (UwT)
   
Loading...