Je mkuu wa kaya kakasirika??

Je mkuu wa kaya kakasirika??

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,951
Reaction score
9,467
Hapa mkuu kakasirika mbona sehemu niliyoizoea hakuna??New post??
 

Attachments

Vipi mkuu sijakusoma!!au mwezi mchanga nini?
 
Au wamechakachua wakuu wengine kama wanavyoendelea kuchakachua huko nec??
 
Vipi mkuu sijakusoma!!au mwezi mchanga nini?

Angalia kwenye attachiment niliyokuwekea au tafuta new post kama utaipata nitakupa pesa maana mimi sioni kwangu je kwako hipo??
 
nIMEANZISHA THREAD KAMA HII KWENYE JUKWAA LA SIASA. MAANA HATUJAPEWA TAARIFA KUNANI PALE.
ikiwezekana kwenye headings zote za threads tuandike haya malalamiko maana ni kama tupo kwenye nyumba kuubwa ila kila mtu kafungiwa kwenye chumba chake.

Mods pls mtujuze au la TUTAWAPANDIA huko huko
 
Back
Top Bottom