Uchaguzi 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi 2010

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KAM, Oct 30, 2010.

 1. K

  KAM Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ninawatakia wa-Tanzania wote, uchaguzi wa baraka na amani. Na iwe kwetu kile ambacho ni chema Mungu amekusudia kwa Tanzania kitokee.

  Katumie haki yako nenda kapige Kura.

  KAM
   
 2. m

  mwalimumpole Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iringa mjini hali ni tete kwa sisiem
   
 3. m

  mwalimumpole Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamii tumeni matokeo kwenye mtandao wa jf tupunguze presha
   
Loading...