CUF upande wa visiwani yathibitisha kuwa ni chama kinachowaunganisha wazanzibari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF upande wa visiwani yathibitisha kuwa ni chama kinachowaunganisha wazanzibari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIDUNDULIMA, Nov 1, 2010.

 1. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ushindi wa chama cha CUF wa viti vitatu kwenye ngome ya chama cha mapinduzi inadhihirisha kuwa chama hiki ni cha wa wazanzibari wote tofauti na CCM ambayo huishia kupata viti upande wa unguja tu. Kwa mantiki hiyo CUF wanastahili kupewa Nchi ya Zanzibar waiongoze na CCM wapewe nafasi ya umakamu wa raisi wa kwanza
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hongera sana Chama Cha Wananchi (CUF),kwa ushindi mliyoupata!!
   
 3. doup

  doup JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Mnastashili pongezi
   
 4. E

  Edo JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Wanastahili kwe kweli maana Pemba CCM hawana kiti hata kimoja japo cha udiwani!
   
Loading...