Habari ndio hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari ndio hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by upele, Oct 30, 2010.

 1. upele

  upele JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :thinking:Kuna taarifa zinasema kuwa; Mkapa baada ya kusakamwa sana na UFISADI,
  siku moja akiwa nje ya nchi, alikutana na Mwandishi mmoja ambaye
  alikwenda huko kwa ajili ya kupokea Tuzo, baada ya kusalimiana
  walialikana katika Mgahawa na kunywa Chai ambapo Mazungumzo yao baada
  ya kujuliana hali yalikuwa hivi;

  Mkapa: Vipi Siasa za kwetu, hali ikoje.
  Mwandishi: Zipo zinaendelea tu.
  Mkapa: Hongera kwa kuchukua tuzo, kwani huu ndiyo uandishi niliokuwa
  nikiusema wakati wa utawala wangu ila hamkunielewa tu.
  Mwandishi: Asante. mbona umekuwa kimya sana.
  Mkapa: Ahaa! Nimeamua, tena wewe si mwandishi bwana sasa leo nakupa
  mtihani. naomba Muulizeni Kikwete anaifahamu vipi EPA?
  Mwandishi: Kwani ilikuwaje mkuu?
  Mkapa: Unajua mie nikiwa Madarakani, Kikwete alikuwa akitambulika
  ndani ya UWT kwa Codename ya 'Malaika'. Siku Moja kabla ya kuingia
  katika Uteuzi wa wagombea wa Chama, nilifuatwa na watu wa Usalama na
  kuambiwa kuwa Malaika atashinda. Sikuwa namtaka awe kiongozi kwa vile
  nilimfahamu, lakini watu wa Usalama wakaniambia, Mzee hamna namna
  kwani ameshakamata mfumo wote wa chama na baadhi ya UWT, Jeshi na
  sekta muhimu, hivyo wakanitaadharisha kwamba iwapo nitamzuia nchi
  itayumba. Nilishangaa lakini sikuwa na namna zaidi ya kuinusuru nchi,
  niliwasiliana na wazee katika chama na kuamua kukubaliana nao
  kuiepusha nchi katika matatizo.
  Lakini siki chache baada ya Dodoma kumpitisha Malaika, nilifuatwa na
  maofisa wake na kuelezwa kuwa Malaika alikuwa akitaka fedha kwa ajili
  ya kampeni, Ukweli nilimaka, na kuhoji nitazipata wapi. Wakanieleza
  amesema zipo BoT. Niliamua kumuuliza gavana (Balali) kwa simu, kuwa
  Chama kilikuwa kikitaka fedha kwa ajili ya Uchaguzi,
  Balali akajibu hakukuwa na fedha.
  Kutokana na majibu hayo Malaika akamfuata Mkapa na kumueleza anajua
  kila kitu na kwamba kulikuwa na Fedha za malipo ya nje alikuwa akiomba
  hizo kwa ajili ya kampeni za chama. Nikamueleza Balali ambaye alisema
  fedha hizo haziwezi kutolewa mpaka kuwepo na doccument, baada ya
  majibu hayo kufikishiwa Malaika na watu wake walifika na kuwasilisha
  doccument kwa Balali na kuzitoa fedha hizo.
  Mwandishi: Duh...inamaana EPA alicheza Malaika?
  Mkapa: Ndiyo maana nakutaka ukipata nafasi muulizeni Kikwete anaijua
  vipi EPA?

  Source: Habari hii nimeisikia kwa mwandishi mmoja nchini aliyewahi
  kushinda Tuzo akimsimlia mtu wangu mmoja wa Karibu nami.

  Conquest-yeah wana jf kazi kwenu na jk
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!malaika gani mwizi,mropokaji,mlipa visasi. Hii ni kejeli kwa malaika wa kweli!!!
   
 3. dazenp

  dazenp Senior Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  This is something i have to believe kama imetokea tatizo JF ukitoa Tetesi kama hisi nahisi UWT wako humu wanabana kwakuwa ni DATA za maana so unaonekana mzushi the thing is endelea kutoa DATA hata kama wanabana:doh:
   
 4. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,993
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  Yes, Shetani akizeekaanakuwa Malaika!
   
 5. upele

  upele JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  INAMAANA WAKUU WA JF NAO NI CCM AU VIPI WATU TUPO ON THE LINK BWANA HATA WAKIBANA ITAKUWA WAO NA WAKUBWA WAO
  iLOVE JF ALL MY LIFE
  cONQUEST-GOOD DIE YOUNG:nono:
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Malaikaaaa nakupenda malaika, malaikaaa nakupenda malaikaaaa, nami nifanyeje kijana mwenziooo, nashindwa na mali sina eeh ningekuoa malaikaaa.
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  singo imetulia kweli mana baada ya malaika kukosa pesa za kuingia ikulu akaenda kukwapua za epa
   
 8. e

  ejogo JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2010
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii kali kwelikweli!!
   
 9. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Duu haya mambo hayaishi midomoni wakati malaika anakula kuku kwa mrija, na hii last term ndo kuboronga kutakuwa kukubwa.

  But life goes on
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ulikua wapi siku zote na hii habari.... hebu mengine haya ubaki nayo kwenye vijiwe bana, authenticity hakuna hapo
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  . No sir, this has come timely. Make sure tomorow you do the needfull
   
 12. upele

  upele JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkubwa yapo mengi ila naogopa wanajf wasije wakafa kwa bp maana ukitoa mengi basi uchungu utapelekea mauti sasa bora kidogo,
  Conquest-we acha tuu ukijua utalia:nono:
   
 13. W

  We know next JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Du hii kali tena, mwaka huu tutasikia mengi. Lakini kwa jinsi hali ilivyosintashangaa kuwa yalitokea hayo. na kama mapenzi ya MUNGU yatatimia ktk uchaguzi huu, basi mambo yote hadharani. watatajana wote.
   
Loading...