habari za kushangaza kutoka jiji la Mwanza! Jiji lenye wakazi wengi la pili nchini ! Hivyo ni jiji lenye mwammko mkubwa katika masuala ya kisiasa!!! Cha kuchangaza ni kwamba tangu jumapili ya 23th October, umeme hukatika kunako masaa ya jioni! leo tarehe 28 pia !! Je hii ni ishara gani katika masuala ya kuhesabu kura ???? Twategemea kura zitahesabiwa mpaka usiku!!!! je vituo vyoye vya kupigia kura kuna msaada wa genereta au tochi au karabai za ziadaaaa!!!!
Kitendawili cha "KATA UMEME"
Kitendawili cha "KATA UMEME"