Kikwete anapiga simu kuomba kura! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete anapiga simu kuomba kura!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Edgartz, Oct 30, 2010.

 1. Edgartz

  Edgartz JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Anasema anaomba nimchague mabaya yote aliyofanya atayarekebisha vipi inamaana watu wote mmepigiwa simu? Nimepigiwa kwa namba hii:+255754777777
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Hapati kitu hapa.

  Hiyo ni typical JK phone number.

  Zamani nilikuwa nayo 0787 77 77 77
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Umepigiwa kama nani?
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kupigiwa simu mmeongea naye na wewe kumuuliza maswali yako au ni "robocall" yaani ni one way communication?
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yeye si ndiyo kaanza inatakiwa amwagiwe mimeseji ya just "hapana mitano tuliyokupa mwanzo inatosha"
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Kampeni za kisayansi nadhani tutapata ule ushindi wa kishindo
   
 7. C

  Chumvi1 Senior Member

  #7
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 137
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  amekwisha kipenga kinalia kesho
   
 8. Edgartz

  Edgartz JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama mtanzania!
   
 9. Edgartz

  Edgartz JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nazani ni robocall baada ya kupokea simu nimeambiwa ongea na mhesimiwa nikaunganishwa akaanza kuongea kikwete ila hakupi nafasi ya kuuliza swali lolote baada ya kumaliza kuniomba nimpigie kura akasema asante kunisikiliza simu ikakatwa!
   
 10. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo utampigia kura? Just say hata kama ni siri yako, sababu pia hatukutaka jua kuwa amekupigia
   
 11. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135

  Halafu nilisahau> umesharudi toka Malawi kwa ajili ya uchaguzi?
   
 12. Edgartz

  Edgartz JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hata angenitumia salio siwezi kuwapa kura yangu CCM
   
 13. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,385
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  umbea mtupu
   
 14. Edgartz

  Edgartz JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndio mkuu!
   
 15. Edgartz

  Edgartz JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2010
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kweli mkuu sio umbea
   
 16. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #16
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  Guys thats staff is recorded operated by voda calling centre[customer services]....from huyo anayekuambia ongea na muheshimiwa to jk voice all that is pre recorded and IT operated...mzee technology hiyo!!..yeye muda huo alikuwa anafanyiwa massagge..
   
 17. apakati

  apakati Member

  #17
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli hata mimi jana jioni kanipigia, ni ya kurekodiwa maana wakati inaongea muda huo huo ikawa inaita kwa mwenzangu naye akasikia maneno yaleyale. Ndiyo namba ni voda ya 54 then zote 7
   
 18. Edgartz

  Edgartz JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kweli kampeni za mwaka huu ni noma me nilijua ni mimi tu!
   
 19. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Rafiki yangu jana alitumiwa sms imeonyesha jina la mtumaji "jakaya kikwete inasema naomba kura yako"
  Mshikaji alipomaliza tu kuisoma akai delete leo kampa kura yake Dk wa u kweli Slaa:
   
 20. M

  Mundu JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mimi pia nilipigiwa, yule dada aliponiunganisha na niliposikia "mimi ni JK" nikakata, wala sikuacha amalize kuongoea. Kwanza siko Tanzania, hata ningekuwa nipo home nisingempigia.
   
Loading...