Msaada: ITV / TBC through satelite

Shomari

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,112
241
Habari wanajamii, naomba kuuliza nitawezaje kuangalia stesheni za television za nyumbani TBC/ ITV kwa kupitia satelite? kama kuna mtu ana uzoefu huo naomba msaada. asanteni
 
Habari wanajamii, naomba kuuliza nitawezaje kuangalia stesheni za television za nyumbani TBC/ ITV kwa kupitia satelite? kama kuna mtu ana uzoefu huo naomba msaada. asanteni

tv africa, ila itabidi ulipia kupitia paypal, ambapo unatakiwa uwe umejisajili na paypal kwanza, garama ni euro 5.58
 
TV AFRICA ila itabidi ulipia kupitia paypal, ambapo unatakiwa uwe umejisajili na paypal kwanza, garama ni euro 5.58 originally posted by pascaldaudi

Nashukuru kwa shule uliyotupa!!!!
 
tv africa, ila itabidi ulipia kupitia paypal, ambapo unatakiwa uwe umejisajili na paypal kwanza, garama ni euro 5.58

Yes,that's it.Nenda tv4africa.com download player kwenye pc yako na kuwalipia hiyo hela ndogo kwa paypal utaenjoy itv na chanel5(EATV)kwa mwezi1.Ukitaka miezi mingine zaidi utaongeza hela.
Naenjoy Itv kwa kwenda mbele.

Naona CCM hapo jangwani wameamua kumweka Mzee mwinyi na hawa mafisadi wengine kina Mkapa kuongea upupu!..
wameshikwa vibaya!

Eeh Lord if you hear our cry!...Help choose in Dr. Slaa for the better of our country.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom