Tanzania Daima: Membe aonja joto la jiwe... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Daima: Membe aonja joto la jiwe...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rutashubanyuma, Oct 30, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,348
  Likes Received: 418,853
  Trophy Points: 280
  Katika karatasi za ndani za gazeti la Tanzania Daima la leo Waziri wa Mambo ya nje imeripotiwa kuwa alionja joto la jiwe...................

  Hii sasa itakuwa ni mara ya pili kwa Mheshimiwa huyu ambaye ni kipenzi cha kutetea utawala wa kifisadi wa JK na CCM yake kuwekwa kiti moto.......kuanzia kule Mwanza na maaskofu waliposambaratisha hoja zake za kulea uozo ndani ya CCM...............Hivi ni lini Membe atazisoma alama za wakati zisemazo.............."Tanzania bila ya CCM yawezekana?"
   
 2. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Joto lipi tena! Tuhabarishe. Yule mzee ana kiherehere sana!
   
 3. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jamaa kaingia mitini
   
 4. m

  mollel martin Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tujuze zaidi mkubwa
   
 5. m

  mollel martin Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipeni matokeo ya jimbo la arusha mjini
   
 6. m

  mamtaresi Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aursha mjini kachukua GODBLESS LEMA BABA LA KICHAGA KWA TIKETI YA CHADEMA
   
Loading...