Jamani,
:smile-big:
This is Chambi's doing wanting me to have an opinion on Pan Africanism. Well I am being quoted and to your great delight Chambi by African American Youths who are using...
Upinzani wa mashirika ya kiraia kuwa sera ya kupambana na bidhaa bandia katika Afrika Mashariki inawez kusababisha kuzuia dawa za bei nafuu na halali zinayotengenezwa kwa leseni una lengo la...
Dear Tanzanians, it is worth to mentioning that at present TZS 1,500 is equivalent to 1USD.This comes following our hillside behaviour on the following :
Using Chinese toilet paper...
Nasikitika kusema hili,,nimejaribu kuangalia tangu mwanzio wa huyu bwana sijui ni sifa za kudanganywa chaguo la mungu zimemteketeza,..sielewi aliwafamyaje watanzania kama ni bagamoyo basi 205...
SASA NI WAKATI WA KUANZA UPYA ATCL
Na mhariri Cosmus Ruhembiza
Nipashe
Juzi katika ukurasa wa kwanza wa gazeti la nipashe kulikuwa na habari inayosema ATCL NI BOMBA LA KUFUJA FEDHA HAZINA...
WANAJF NATOA DUKUDUKU LANGU, TUKIACHA KIMA CHA CHINI CHA 315,000 KUTOLIPWA, WAFANYAKAZI WA SERIKALI TUNADAI MALIMBIKIZO YETU YA MISHAHARA YA TANGU JULY MWAKA JANA HADI MACHI MWAKA HUU. TUMEKOPWA...
"Thanks to the terrible power of our International Banks, we have forced the Christians into wars without number. Wars have a special value for Jews, since Christians massacre each other and make...
Kuna baadhi ya wanawake wanasema mwanamume wa kweli ni yule ambaye ana mambo yafuatayo: 1. ana mke, 2. ana mtoto au watoto, 3. ana nyumba moja au zaidi na 4. ana gari au magari. Je hii imekaa sawa?
Nimefungua inbox yangu nikakuta emails hizi nikacheka sana, maana kwa harakaharaka kama una tamaa kweli wanaweza kukuingiza mjini hawa jamaa, maana kama hawapati watu wangeshaacha. actually this...
Habari za jioni wana JF
Ninaomba ushauri wenu wapendwa, nina shughuli hivi karibuni na ninatafuta a THANK YOU FOR COMING GIFT amabyo its not so costy but unique.
Natanguliza shikurani zangu...
Mtoto wa Kichina mwenye umri wa miaka minane akionyesha wazi hofu iliyotanda uso wake, alisimama pembeni ya barabara akiwa amefungwa minyororo na baba yake ambaye alikuwa akijaribu kumuuza mtoto...
Kabla sijaizoea JF mpya niliona kama taabu vile kuitumia lakini kwa sasa nimeona jinsi ilivyo nzuri kuliko ile ya mwanzo. Kwa sasa kuweka picha, ku-attach file n.k. ni rahisi na pia mwonekano wake...
WENYE KISWAHILI SANIFU FUNGUA HAPA AFU TOA JIBU!
http://2.bp.blogspot.com/_oEwMHFlnAzM/S6NE_XyTBEI/AAAAAAAABN0/3-gZeRDAxe4/s1600/Katuni%2BMarch%2B16.jpg
Wajumbe leo naomba niulize jambo nipate hekima zenu,
Miaka ya nyuma wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere jambo hili lilikuwa linawezekana, wanafunzi walilipiwa ada, walipewa fedha za matumizi...
Two days ago (25/05/2010) was the day of Africa. For those who are friends of Africa; will feel the amazement after watching this video. I have had a look on the video, and I like it. Click on...
Napenda kutoa taarifa za kusikitisha za kuondokewa na mwanachama,kada na kiongozi wa CCM kata ya mgwashi jimbo la bumbuli,Mama Krista Sheshe, aliyekuwa katibu wa CCM kata ya mghwashi, wilaya...
kutokana na kuporomoka kwa hela yetu ya madafu dhidi ya dola, bei za petroli na dizeli zimepanda hadi kufikia tsh 2000 kwa bukoba na tsh 1749 kwa dar kwa lita.hivi hali hii mpaka lini wajameni...